jayec
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 599
- 477
Wapo watu hawaelewagi hii habar hasa kuhusu kansa ya koo.Siku watakapopata ndio watajuta maana majuto ni mjukuu.kuna demu 1 wa wilaya ya Rombo alikuwa ananilazimisha 1 day uchafu huo lakin hakuamini nilichomjibu.KUNYONYA SEHEMU NYETI ZA MWANAMKE KUNA MADHARA MAKUBWA KIAFYA.
Wanaume wengi wana maswali mengi sana hapa, kunyonya au kulambalamba sehemu za siri za mwanamke ni njia mojawapo ya kumuamushia ashiki mwanamke kwa haraka sana, tatizo lake ni rahisi sana kupata ugonjwa wa KANSA Ya KOO, unashauriwa kutoingia Mara kwa Mara chumvini, uwe na mbinu za ziada.
Pia kama mkeo ni mchepukaji utajikuta unalamba na kunyonya shahawa za wanaume wenzio bila kujua. Na kupata magonjwa mengine yakujitakia.
Usiku mwema;
Deogratius N Kisandu.
***Imagine demu ndo kamaliza MP jana then mjinga wewe eti unazama chuvini.Khaaaaaaaaa!!!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]