Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

Kulawitiwa na kupigwa kwa wanachuo wa IFM..Je ni uzembe wao?

@Mods, invisible hii thread inatakiwa ikakae kwenye jukwaa la MMU kwa maslahi mapana ya jamii, ingawa ni tukio la muda lakini muafaka bado, haiwezekani tuishi kwa kutegemea doria za Polisi, mbona enzi zetu sisi tulijilinda wenyewe. Inahitaji tuwarithishe vitu hawa jamaa.
Inasikitisha sana kuona vijana wamefikia kumeng'enyua makalio yao ili tu wasidhuriwe
 
Back
Top Bottom