Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.

Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana na Mbowe ambaye hakusanyi kodi za nchi hii.

Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

Mbowe anakusanya Kodi? Ndio ametufikisha hapa tulipo? Mbowe must go wapi? hao wezi mnao waabudu na wanao uza nchi kwa Warabu, na wanao tuumiza na tozo, wanao fanya mazingira ya Biashara yaee magumu sana walio ua elimu na kupepeka watoto wao Internatiinal school kwa pesa za wizi ndio wanapaswa kuondoka.

Hata mkikwepesha magoli kiasi gani, Mbowe hakusanyi kodi na wao kusanya kodi yaani CCM ndio wanapaswa kundoka. Kule Kenya Gen Z inadili na Ruto na Chama chake make ndio wanao kusanya kodi.
Sasa GEN z ya Mazezeta wa Tanzania inadili na Mbowe na sio wakusanya kodi.

Walio tufikisha hapa tulipo ni wakusanya kodi wa nchi hii.
IMG_20240721_090317.jpg
 
Wapuuzi wanaotaka Mbowe aondoke hawampendi kwasababu alisema anatamani ile spirit ya Gen Z wa Kenya ihamie Tanzania, machawa wamekuwa wakali sana kwa Mbowe
 
Kizazi kilichopotea na kuangamia.Si viongozi si wanachama si vijana si wazee wote kwa umoja wao wanaona Mbowe kaleta hali ngumu ya maisha inchini.
 
Ni upuuzi kudili na mtu ambaye hayuko kwenye uongozi wa nchi. Wakenya ni watu wanajitambua sana huwesi wasikia wana msakama Raial Odinga hatasiku moja na Raia yuko kwene siasa enzi za Moi hadi leo hii. Watanzania tukubali tuna ujinga mwingi sana na watu wanatumika kama Kondomu.
 
Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya.

Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana na Mbowe ambaye hakusanyi kodi za nchi hii.

Mbowe anakusanya Kodi? Ndio ametufikisha hapa tulipo? Mbowe must go wapi? hao wezi mnao waabudu na wanao uza nchi kwa Warabu, na wanao tuumiza na tozo, wanao fanya mazingira ya Biashara yaee magumu sana walio ua elimu na kupepeka watoto wao Internatiinal school kwa pesa za wizi ndio wanapaswa kuondoka.

Hata mkikwepesha magoli kiasi gani, Mbowe hakusanyi kodi na wao kusanya kodi yaani CCM ndio wanapaswa kundoka. Kule Kenya Gen Z inadili na Ruto na Chama chake make ndio wanao kusanya kodi.
Sasa GEN z ya Mazezeta wa Tanzania inadili na Mbowe na sio wakusanya kodi.

Walio tufikisha hapa tulipo ni wakusanya kodi wa nchi hii.
View attachment 3047685
Nchi itaenda sawa if raia wakijitambua, kuwa wao ni akina nani na nn kinawafaa. Else wataendelea hiv hivi mpaka akili ziwakae sawa
 
Tuna dili na mbowe maana ni nkurunzinza kiti cha chama tu hataki kuachia tukimpa nchi si ndo atatabadili katiba nchi irithiwe na familia yake baada ya kufia madarakani
 
Kumbe na wewe ni moja ya viazi nchini.
 
Tuna dili na mbowe maana ni nkurunzinza kiti cha chama tu hataki kuachia tukimpa nchi si ndo atatabadili katiba nchi irithiwe na familia yake baada ya kufia madarakani
Ndio anakusanya kodi?
 
Mbowe anakula ruzuku ni pesa ya serkali

USSR
 
Back
Top Bottom