BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Amboseli inamikikiwa na wamasai na wana hisa pale, the same na Masai Mara ambayo asilimia ya mapato inabakia kwa ajili ya wamasai wa Narok, Kuwahamisha pale ni labda kuazima Mabomu ya Nuclear kutoka Urusi na kuwaua wote wakiwa kwenye aridhi yao.
Masai Mara ni nyumbani kwa Wamasai wa Kenya hio Narok yote, the same na Amboseli na hakuna sehemu wanaweza pelekwa.
Ngorongoro ni nyumbani kwa Wamasai wa Tanzania, ila kwa sababu ya uuzaji wa nchi unao fanywa na hawa watawala wasio kuwa na tone la uchungu na hii nchi, wanalazimu kuwaondoa Wamasai eneo lao la asili na kuwapeleka Uhamishoni.
Kwa nini hao Waarabu wasiende Masai mara huko au Amboseli? au kwa sababu wanajua kule hakuingiliki? na badala yake wanaenda kule ambako kunaingilika kama kwenda Chooni?
Ngongoro Mwarabu anaitaka yote kabisa ikibidi na aunganishe na Longido yote ile. Mipango ya kumpatia na Lingido usha kamilika inangojwa uchaguzi upite.
Wamasai wanapaswa kuamua kufia kwenye aridhi walio zaliwa sehemu vitovu vyao vilipo tupwa na sio huko pwani kwa waswahili.
PIA SOMA
- Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673