Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Harry anampenda sana Meghan na mbaya mwanamke anafahamu hilo basi atapelekeshwa balaa ila bibi mtu,kate na william hawatakubali mambo kwenda mrama
 
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji16][emoji16]hivi unawajua waingereza kwa propaganda haha haa[emoji28][emoji1787]...

Harry apelekeshwe? Sasa angemuoa mpaka na kumpa mimba kama ni kimeo? or unafikiri hata Harry anaogopa kumpiga divorce akafie mbele!?..

Waingereza hawampendi Meghan kisa na sababu ana weusi damuni na anatoka nje ya uingereza! Hizi ndo tabia zao..

Harry hayuko happy kwa sababu Buckingham palace wanamnyanyasa mwanamke wake..Period

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi jua labda ana kitabia cha damu zetu za gubu hahahahhahah
 
Hahaha umenichekesha ila Meghan anatakiwa ajifunze maisha ya pale taratibu bila papara
Hebu ngoja nikwambie Numbi...

Wewe umeolewa mle mimba inafika mpaka miezi 7 her Majesty hataki kutoa jina la mtoto wakati ni sheria na haki yako!

Yule Kate mimba ya miezi miwili tu mtoto alikuwa kashapewa jina la kifalme, utaacha kujisikia vibaya?

Meghan alivyoona maneno yamezidi akamshauri mmewe wahamie cottage nyingine mbali na pale Buckingham....weee hilo noma lake moto hauzimiki leo[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijutii kabis kukuita humu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kapenda mwenyewe kujitumbukiza pakubwa avumilie tu.

Kate anapendwa pale sababu kajishusha sana anafata kila anachoambiwa. Ukute hata mimba anazobeba anapangiwa.

Kwa Meghan itakua ngumu kumcontrol maana keshaishi ulimwengu wetu wa kawaida huu kabla ya kufungiwa humo kwenye damu inayoitwa safi.
 
Eti Kate kajishusha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]...ngoja nikuache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…