snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
alivyokufa Di nilitangaza vita rasmi na hii familia!Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]
Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]
Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!
Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana
Sent using Jamii Forums mobile app
I HATED THEM!
hasa Charles!
nimejikuta tu sina interest nayo!
Ni kama madale family after Zari!
au American pop bila Michael