Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]

Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]

Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!

Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana

Sent using Jamii Forums mobile app
alivyokufa Di nilitangaza vita rasmi na hii familia!
I HATED THEM!
hasa Charles!
nimejikuta tu sina interest nayo!
Ni kama madale family after Zari!
au American pop bila Michael
 
Ok ok...but Charles anampenda camilla kufa sijui amelogwa[emoji16]...

Hivi Diana kagawaga uroda sana eeeh??...sikujua hili

Sent using Jamii Forums mobile app
weeeh!
alipoamua kuwajeruhi!
ALIKUWA ANATUMIA TU KILICHOWALETEA MFALME WA BAADAE WA UINGEREZA!

alitoka mpk na mhindi, DR KHAN!
mpanda farasi wake, ambaye rumour has it kuwa ndiye baba wa HARRY!
Anaitwa JAMES HEWIT!
na ukiangalia hata picha za harry sasa hivi ni james zaidi kuliko Charles!
Japokuwa utotoni alifanana na mamake kiasi flan sio kama William!
 
Hasnat alikuwa anapumua kwa oxygen labda [emoji89][emoji2]
Sio kwa hamu hiyo
Kweli wanasema Hewitt ni baba yake lakini sijui kwa kweli ila wanafanana [emoji15]

Kuhusu kuolewa tena sijui utaratibu wao kama angeolewa maana hata Charles kaukosa ufalme kwa ajili ya kutembea na Camilla na hawakuoana kisheria

Matatizo ya kina Sarah ni kuwa huyu mama mkwe wao Malkia aliwavuruga sana imagine walikuwa wanakaaje wakati wanakula pamoja na maneno wanayotupiwa huku queen mother akizima lakini wapi
Ndoa zao zimeharibika mpaka kwa mwanae wa kike labda mmoja Edward tu ndio bado ana mke wake
Lakini mama mkali sana
Nafikiri huwa wakiachika labda hawaolewi tena maana kuna wakati Sarah alijifanya kuleta za kuleta Queen akamrimua kwenye palace na kukata hela
Nae akaenda USA akafanya advert kwenye kampuni gani sijui (nimesahau)
Ili ajipatie hela za matumizi salaalee iliwaumiza sana Royal family lakini kakuza wanae
Kuna visa lakini ni familia kubwa sana na wametoka mbali na historia kubwa wapo wafalme walikuwa wehu na wapo walionyongwa yaani wana historia sana lakini wanapendwa na waingereza sana na watakuwepo kwa miaka mingi ijayo


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
HEWITT NA HARRY wanafanana mno!
na pengine ndo sbabu Harry hachukuliwi serious vile!
wanamuacha tu aswampe na dunia!
William asingeruhusiwa KUMUOA MEGHAN!
hata angedhikiri uchi !
 
HEWITT NA HARRY wanafanana mno!
na pengine ndo sbabu Harry hachukuliwi serious vile!
wanamuacha tu aswampe na dunia!
William asingeruhusiwa KUMUOA MEGHAN!
hata angedhikiri uchi !
Willy wanamuandaa kuwa mfalme na wana utaratibu wao kama mfalme ajae lazima afundishwe hata kuongea na hata kusalimia au kupokea wageni na hata kutembea
Lakini Harry yuko mbali sana kuwa Mfalme ni kama wa sita sasa hapo ni mpaka anakufa.
Hilo linajulikana na wapo princes wengi tu ambao hawafuatiliwi kabisa ila wana heshima zao kama prince au princess


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.

Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...

Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)

Au ukute ni habari za April Fools Day....

Nawaza tu wakuu.

Blacks Mentality kwenye ubora wake. Kama malikia ana ubaguzi Je angeliruhusu aolewe?
 
MKE WA PRINCE HARRY ATAMANI KUJIFUNGULIA NYUMBANI _ Mke wa mtawala wa Sussex Meghan Markle anadaiwa kufikiria kujifungulia nyumbani kwake huko Windsor baadaye mwezi huu, kwa mujibu wa rafiki zake. _ Meghan, mke wa Prince Harry mwenye miaka 37, anadaiwa kutamani kufuata nyayo za Malkia kwa kujifungulia nyumbani kwake Frogmore Cottage, nyumba mpya anayoishi sasa na mumewe Harry katika eneo lao la Berkshire. _ Kwa mujibu wa mtandao wa Daily mail, Malkia wa Uingereza alizaliwa nyumbani kwa babu na bibi yake huko Mayfair na kisha naye kuzaa watoto wake wote wanne katika kasri la Buckingham na kwenye nyumba yake huko Clarence. _ Hata hivyo vyanzo vya habari vimesisitiza kuwa, licha ya matamanio hayo ya kujifungulia nyumbani, Harry na Meghan,wanaotarajiwa kupata mtoto wao wa kwanza ndani ya wiki hizi za karibu hawajakataa uchaguzi wa kujifungulia hospitali kutokana na ukweli kuwa mwanamke anayejifungua akiwa na umri wa zaidi ya miaka 35 huhitaji uangalizi zaidi kutokana na hatari ya kujifungua mtoto kabla ya wakati au huhitaji upasuaji wa haraka
 
Chiiiiiii.....my ribs😂😂😂co kwa chambo hlo la kdhungu🤣🤣🤣🤣
Tatizo kiinglishi!! Angewanyali vipi sijui..

Hey!! Donti folo folo me, luk at ur mouth, mouth like marlin fish!! Vilegs like honey badger!! Sasa sijui nyooo angeitamka vip kwa kiinglishi!!

Au ataishia kuwaimbia nyimbo za taarabu na kunung'unika kwa mafumbo
Ooh! There are people n shoes in this world!!
Oohh!! If u have it will pain em inside inside.
Oooh!! Live them, avoid 'em quickly quickly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="makaveli10, post: 31059237, member: 133496"
Hahaa!!

Eti hivi wazungu nao wanajua kusonya eeh!!??
[/QUOTE]
Wanajua na waoooo
 
Back
Top Bottom