Kule Neymar Anacheka Kule Messi analia/anaombeleza.

Shabiki andazii, acha kukariri mpira, see BIG picture! Hao wote waliondoka huku tayari kuna warithi wao, Sasa hapa ameondoka neymar tuu dhoooofuuu bin taabani, akiondoka Messi (Osama) mrithi wake Nani Sasa hivi?? Akiondoka Suarez mrithi wake Nani?? Amestafu xavi hamna mrithi wake mpaka Leo! SEE BIG PICTURE!!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Watu wengi wanaibeza barca wanasahau kua mechi mbili za mwisho kabla ya mechi ya juzi madrid alipigwa na barca na hizo mech neimar hakucheza. Hii mechi ya juz madrid wangeooteza ingekua ya tatu mfululizo wanapoteza kitu ambacho sio rahc kwa mtani kunyanyasika hvyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahaba hufuta kumbukumbu

Qaluu lamnakuminal musswalliin
 
Mkuu we will see about this.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…