Kule Neymar Anacheka Kule Messi analia/anaombeleza.

Upumbavu ni kuamini Barcelona Is Finished, walikuwepo kina Luis Suareez (wengi hamumujui), Johan Cruyf, Lazslo Kubala, Hristo stoichkov, Romario, De lima, Rivaldo, Ronaldinho na Messi na Barca haikuyumba...so acheni ushabiki wa Kinazi Barca is Still the Best Club in Europe!
Zama zinabadirika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa Mbona hata Pique aligeuka Ninja jana sasa sijui lipi litakua goli bora kati ya hayo mawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la kujifunga ni goli zuri sana na yote ni bora.
Yaani beki anashambuliwa hadi anaona isiwe taabu, ngoja niwape wanachokitaka.
Anautia mpira wavuni na kupumzika.
Ninja kajipatia umaarufu wa haraka sana, kila mpenda soka amjua ninja ni nani.
 
Itakua kalala na Viatu jana ndugu yetu Pique na refa alikua anahuruma akaongeza dk 3 angeongeza 4 wangepigwa chuma kingine.

game ijayo Beki Mascherano na Umtiti/pique unatoa gobole unaingiza Rungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo barcelona tumepatikana madrid walikua vizuri kuliko baadhi ya mechi zilizopita tulipocheza nao, pia madrid wana benchi zuri aisee anatoka mtu anaingia mtu sisi still tunaunga unga...najua mwalimu hatofocus sana kwenye mechi ya marudiano coz haina maana kivile lazima tufocus kwe ligi na champions league tunaendaje maana usajili msimu huu kila tunapoenda tunakataliwa...hongeren sn washabiki wa madrid kugoma kufungwa nasi mara tatu mfululizo but tutakutana league ikianza i hope tutakuwa tumeimprove tutarejea kwe utaratibu wetu wa kuwasulubu maana nyie na sisi kama uji na mgonjwa tunapiga tu 6,5,4 wala hamnaga shida..ila hongeren na isco wenu mnajidai nae kwelikweli siengoja tuendelee kuwagongea watu hodi ingawa tunakataliwa jila kona
Hala Madrid kwenu...hongereni sana

NILIKUA NAIAMINI SANA BARCA LAKINI BARCA WALIANZA KUPOTEA MSIMU ULIOISHA SASA ULIKUA UKIITAZAMA BARCA VIZURI TATIZO HALIKUA KOCHA BARCA WALITAKIWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA ENEO LA KATIKATI NA KUMKABIDHI NEYMAR MAJUKUMU YA MESS LAKINI WALE WATU WANAMUONA MESS MUNGU WAO SASA NEYMAR KAONDOKA , MESSI ANAMIAKA 30 ,SUAREZ AGE NAYE INAKIMBIA UNAUZA MSINGI WA TIMU MTOTO MDODO , AFU UNAENDA NA ELA YA TAX KUMTAKA COUTINHO WATU WANAKUONA UNATANIA NA KAMA UNAFIKIRIA VIZURI IANGALIE BARCA VIZURI SANA , KURUDI KIRAHISI CO RAHIS IVO AISEE
 
wafanye usajiri wa haraka.
dembele+countihno+hazard +beki bila hivyo kipigo kinawahusu
DEMBELE+COUTINHO+HAZARD+BEKI SIO SHIDA SANA SWALA NI KWAMBA NEYMER KANYEA BIASHARA ZAIZI HAWATAUZWA BEI ZA VITUMBUA MAANA PAUN M 100 IMEKUA KAMA BUKU TEN LA BONGOO
 
Upumbavu ni kuamini Barcelona Is Finished, walikuwepo kina Luis Suareez (wengi hamumujui), Johan Cruyf, Lazslo Kubala, Hristo stoichkov, Romario, De lima, Rivaldo, Ronaldinho na Messi na Barca haikuyumba...so acheni ushabiki wa Kinazi Barca is Still the Best Club in Europe!
SURE BUT AYO MAJINA YASOME TENA TUONE AFU RUDI UANGALIE VIPAJI VYA IVI SASA ,,, ZAMA ZIMEENDA KWAO
 
isije kuwa sizitaki mbivu hizi,msiposajili beki za kati hata Las palmas watawapa kisago tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
amna mkuu madrid kipindi hiki wako vzuri lazima tukubali na jana walikua tofauti kabisa na tulivyowazoea...sie tutasajili kiungo tu na winga beki zilezile mbovu kama miaka yote, nyie madrid tutakutana kwenye ligi tu najua mechi ya kesho mna nafasi kubwa ya kutufunga tena
 
NILIKUA NAIAMINI SANA BARCA LAKINI BARCA WALIANZA KUPOTEA MSIMU ULIOISHA SASA ULIKUA UKIITAZAMA BARCA VIZURI TATIZO HALIKUA KOCHA BARCA WALITAKIWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA ENEO LA KATIKATI NA KUMKABIDHI NEYMAR MAJUKUMU YA MESS LAKINI WALE WATU WANAMUONA MESS MUNGU WAO SASA NEYMAR KAONDOKA , MESSI ANAMIAKA 30 ,SUAREZ AGE NAYE INAKIMBIA UNAUZA MSINGI WA TIMU MTOTO MDODO , AFU UNAENDA NA ELA YA TAX KUMTAKA COUTINHO WATU WANAKUONA UNATANIA NA KAMA UNAFIKIRIA VIZURI IANGALIE BARCA VIZURI SANA , KURUDI KIRAHISI CO RAHIS IVO AISEE
unajua hizi madrid na barcelona mkuu zina rise na kufall....kunakipind hapa kati madrid haikua hovyo ingawa wachezj walikuwa ni hawahawa so barcelona now imeshuka sema sasa na kuondoka ghafla na neymar kumefanya mambo kuwa magum zaid maana timu ilikuwa haijajiandaa kabisa..but barcelona ni timu kubwa itarudi tu..ilipigwa 7-0 na buyern watu wakasema imekufa bt ikaja chukua vikombe karibu vyote so mi naamin itarudi..ni changamoto ya neymar pia kocha ni mpya..kufungwa na madrid c ubovu kaka wako vizuri sasa hivi na isco wao asensio daah wanatamba kweli yaan but tutarudi tu na sisi
 
Barcelona wanaitaji goal mbili tu kunyanyua kwapa. Hizo ni goal chache sana kwa timu kama baca. Ref game na PSG. Chochote kinaweza kutokea na kutokuwepo kwa cr7 ni msaada kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu ni kuamini Barcelona Is Finished, walikuwepo kina Luis Suareez (wengi hamumujui), Johan Cruyf, Lazslo Kubala, Hristo stoichkov, Romario, De lima, Rivaldo, Ronaldinho na Messi na Barca haikuyumba...so acheni ushabiki wa Kinazi Barca is Still the Best Club in Europe!

Before Gaucho mataji mangap mlikuwa nayo?
 
Barcelona wanaitaji goal mbili tu kunyanyua kwapa. Hizo ni goal chache sana kwa timu kama baca. Ref game na PSG. Chochote kinaweza kutokea na kutokuwepo kwa cr7 ni msaada kwetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokuwepo kwa CR7 hakutakuwa na impact,juzi pamoja na kufunga goli alicjeza dk zisizotimia ishirini na akatolewa likabaki pengo,siku hiyo hatakuwepo lakini kutakuwa na mtu hivyo pengo halitakuwepo.Niambie barca(basa) ni nani alikuwa benchi ni bora kuliko waliocheza kwamba ataleta kitu kipya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom