Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.
Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda kila ninachosema kiwe cha kweli na siku nikihisi nimesema uongo huwa najiona vibaya nafsini mwangu.
Ndipo nikajiuliza na kule ofisi za TMA wanatazamana vipi siku utabiri wao ukienda kinyume nyume.