Kutabiri ni kitu kingine na wao Wana data zao ,na practical zao na suala la errors halikosekani kwenye data hivyo conclusion zao sio 100% possible na wanajua hivyo.....Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.
Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda kila ninachosema kiwe cha kweli na siku nikihisi nimesema uongo huwa najiona vibaya nafsini mwangu.
Ndipo nikajiuliza na kule ofisi za TMA wanatazamana vipi siku utabiri wao ukienda kinyume nyume.
Sio kweli.Meteorology is all about prediction, the same to bettors in gambling
Neno utabiri maana yake nini?Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.
Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda kila ninachosema kiwe cha kweli na siku nikihisi nimesema uongo huwa najiona vibaya nafsini mwangu.
Ndipo nikajiuliza na kule ofisi za TMA wanatazamana vipi siku utabiri wao ukienda kinyume nyume.
huwa wanakisia, sijui kama hata shule waliendaga wale. huwa wanaangalia kwenye maccnn huo na bbc wazungu wamesema nini afu wao wanatangaza. wamekisia kuwa october kutakuwa na elninyo nyingine, ngoja tuone, miezi 2 tu imebaki.Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.
Ni wazi kuwa kazi ya idara hii ni kutabiri tu na wala si kutoa amri hali ya hewa iweje kwenye maeneo tofauti ya taifa letu.Mimi tu kama mwanadamu huwa napenda kila ninachosema kiwe cha kweli na siku nikihisi nimesema uongo huwa najiona vibaya nafsini mwangu.
Ndipo nikajiuliza na kule ofisi za TMA wanatazamana vipi siku utabiri wao ukienda kinyume nyume.
Ni sawa haiwezi kuwa asilimia 100 lakini inapokuwa umetabiri mvua za Elnino na ikatokea jua kali hapo kuna tatizo la wazi.Kutabiri ni kitu kingine na wao Wana data zao ,na practical zao na suala la errors halikosekani kwenye data hivyo conclusion zao sio 100% possible na wanajua hivyo.....
Huo atabiri huwa hawaufanyii ofisini kwahiyo hakuna shida.Kazi ya utabiri wa hali ya hewa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa ndio maana serikali ikaanzisha idara maalum ya utabiri wa hali ya hewa.