Kule Twitter (X) ati Njaa55 wanataka kupambana na maambukizi huku wakishiriki ngono.

TRAT

Senior Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
117
Reaction score
307
Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado anahitajika kwenye siasa za Chadema bila kuwa kiongozi mkuu wa chama kama alivyo Mhe.Zitto. Anachopaswa kufanya ni kujitenga na vijana Hawa ambao wanawaza kumwangusha Lissu ambaye siyo level yao tena. Wanachopaswa kuelewa Lissu kakubalika kwa wanachadema, wananchi na taasisi za ndani na nje ya mchi. Hawezi kushindana nae tena.
 
Sisiemi huu moto lissu anawapelekea mtatema bungo mamaeeee
 
Kweli Mzee Mbowe alizungukwa na vijana wa hovyo, waliendekeza pombe na nyama choma. Waligawa vyeo kwa wadada kwa rushwa ya ngono. Walijua wazi Lissu akiingia biashara yao imeisha. Mbowe bado anahitajika kwenye siasa za Chadema bila kuwa kiongozi mkuu wa chama kama alivyo Mhe.Zitto. Anachopaswa kufanya ni kujitenga na vijana Hawa ambao wanawaza kumwangusha Lissu ambaye siyo level yao tena. Wanachopaswa kuelewa Lissu kakubalika kwa wanachadema, wananchi na taasisi za ndani na nje ya mchi. Hawezi kushindana nae tena.
Eti nyama za bure na pombe😅😅
 
Kila mmoja anapambania panapompa uhakika wa maslahi yake. Siasa ni ajira
 
Back
Top Bottom