Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitaka kukorofishana na mama watoto wako leta maada za DNA, huwa hawazipendi kabisa.
mi nakuhakikishia hata hapa jamvin hutaona KE yeyote atakayekupa sappot. wanajua yanayoendelea.
Mi nashauri ME msipime DNA za watoto ambao mama zao bado mnaishi pamoja.
Ila kama ukiletewa mtoto ambae mama yake hampo pamoja waweza kujiridhisha kama ni wako la.