Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

Kulea wasiojiweza (Wazee na wale wanaohitaji uangalizi wa karibu) kwa walioopo Hospitalini au Nyumbani. Nipo tayari kuwahudumia

Care Giver (Mlezi)
Mimi ni nani?

MAJUKUMU YANGU NI YAPI?

■Kwa sasa nipo tayari kutoa huduma mkoa wowote ndani ya Tanzania.

Mawasiliano: 0683 856087

NB
: Naomba share na wanaohitaji huduma hii najua watu wanamajukumu na hapo hapo wanahitajika wa watu wao wanaohitaji uangalizi wa karibu basi hakika suluhisho limepatikana.

Nipo tayari kuwahudumia.
Good idea,iubarikiwe sana kaka,natumai utajapata tu kazi,endelea na moyo huohuo
 
Utapig hela sana, kuna uwezekano wa kuja kupatiwa mjengo, biashara , usafiri n.k
 
Back
Top Bottom