Kulegea kwa misuli ya uke (Vaginal prolapse)

Kulegea kwa misuli ya uke (Vaginal prolapse)

kuna hii kitu inaitwa SHABU hembu ijaribu, kwa maelezo zaid niPM
 
dada, kuna mazoezi unatakiwa kufanay, kwaza kabisa kaa muda mrefu bila kufanya, pili wakati unakojoa uwe unabana mkono kama sekunde kumi na kuachia unabana unaachia, unabana unaachia, hiyo huwa inarudisha k kabisa. ukishindwa, nipm mimi nina mguu wa mtoto.....tatizo hili linawapata wanawake karibia wote baada ya kujifungua. kukaa muda mrefu bial kufanya namaanisha at least a year...sasa sijui kama utaweza, ukishindwa nipm....hakuna kitu kinaboa kama kuwa na dem afu anakuwa na pango...wengine wembambaa lakini ukitia mguu hata kama una mguu wa mtoto unashangaa imepwaya tu na hana utundu wa kubana kuta za k...wanawake mnahitaji kitchen party sana....fanya mazoezi kubana k ili kubana mb...kuna wanawake wengine unakutana nao yaani aanabana mb vizuri kule ndani utafikiri ameishikilia na mikono anavyobana kuta na kuishika mb kwa kuta za k....

Kuhusu suala la kubana na... ni sahihi, vilevile. mhusika awe anakusafisha kwa bibi kutumia maji baridi, pia ajizoeshe kuchanganya maji baridi na maji ya ndimu ajisafishe vyema atoe uchafu kila inapobidi, pia kama ana ufahamu udi pia ni vyema ajifukize kwa bibi kabla ya tendo, pia azowee hata akikaa tu anafanya shughuli zake, basi abane na kuachia uwe ndo mtindo wake. pia kama vp atumie "sticker" au "misky". :A S 465:
 
Kwenye "mwanamke na nyumba blog" jana au juzi kulikuwa na makala inadai kunywa maji ya madafu inasaidia sana kuhusu hilo tatizo.
 
Mazoezi ya kukaza misuli ya Uke.

Kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wanawake kuwasema na kuwacheka wanaume wenye “vibamia” hali kadhalika na wao huwa wanacheka na kusema wanawake wenye “uchi” Mkubwa/pana wakidai kuwa hawafurahii kwa vile haibani na kupoteza ule msuguano ambao ndio chanzo cha raha na hatimae utamu.

Natambua kuwa ni jambo linalotia aibu kama ilivyokua kwenye suala zima la ngono lakini hili ni tatizo ambalo linasumbua wanawake wengi. Hili tatizo mara nyingi hutokea au kujitokeza mara baada ya kuzaa watoto 2 na kuendele.


Hakuna sababu ya wewe kuona aibu ikiwa una tatizo hili hasa pale unapokwenda kumuona daktari wako kwani wanatambua kabisa nini huwa kinatokea baada ya kuzaa.

Ukiwa mtu wa kufanya mazoezi au ulikuwa mtu kwa kufanya mazoezi kabla hujapata mtoto huwa rahisi kurudisha u-tight wa misuli ya uke wako kwa kufanya mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo pamoja na yale maalimu kabisa yanayoitwa Kegel.


Zoezi hili limepewa jina la Kegel baada ya Dr.Arnold Kegel ambae ni “Obstetrician” alietambulisha zoezi hili kama sehemu ya kuwasaidia akina mama wajawazito kuboresha na kukaza misuli ya uke ambao huwasababishia kuvunjwa kwa mkono pale wanapocheka, kohoa, piga chafya n.k. mara baada ya kujifungua.


Baada ya miaka michache imegundulika kuwa zoezi hilo lijulikanalo kama Kegel husaidia kurudisha “mnato” wa uke pia na wengi hufanikiwa kurudisha ule “u-tight” wa uke hali inayowafanya wajiamini wanapofanya mapenzi na vilevile kuwafanya wapenzi wao na wao wenyewe kufurahia kama ilivyokuwa awali (kabla ya kuzaa).

Misuli inayofanyiwa zoezi hili ni ile iliyozunguuka uke, njia ya mkojo na sehemu ya haja kubwa(Tigo).


Unajua unapokunya (toa haja kubwa) ile ngumu au hata ya kawaida huwa huliachii mpaka liwe reefu kama na mara nyingi unakata kimba hilo, ukilikata lile "javi " sehemu yako ya nyuma (Tigo) inakuwa kama vile ina "hema" au "inamwenyua-mwenyua" samba-mba na ile ya mbele....sasa unatakiwa kufanya hivyo mara nyingi uwezavyo ukiwa mahali popote na sio wakati unakunya. Lakini kumbuka ku-hold na kuachia....sio unafanya haraka-haraka ili uwahi kumaliza.


Hali hiyo ya Tigo na Uchi"kuhema" pia hujitokeza wakati ukisikilizia utamu wa kufanya mapenzi mara tu baada ya uume unapotolewa haraka ukeni pale unapofika.....hasa ikiwa Mpenzi anataka kumaliza lakini kwa nje.

Vilevile unaweza ukalifanya zoezi hilo kila unapokwenda kukojoa, jaribu kuzuia mkojo usitoke kwa kutumia misuli yako ya uke kwa muda wa dakika fulani....kwamba uzuie kisha hesabu 1....2....3....4...5...6 kisha uachie na rudia tena mpaka mkojo wote uishe.


Zoezi hili halifanywi na wenye uke mpana na wenye maji-maji mengu tu bali na mwanamke yeyote ili kuboresha maisha yake ya kingono na mpenzi wake.


Ikiwa unafanya haya mazoezi mara kwa mara yatakusaidia kumpatia mpenzi wako kilele cha maana kwa kubana-vuta na kukamua uume wake kila unapo ingia deep inside na vile vile kunaendeleza mnato wako na ikiwa wewe ni kati ya wale wanawake wenye maji-maji mengi basi unaweza kutumia misuli yako hiyo kuubana uume na kumpatia utamu na raha mpenzi wako ambayo hajawahi kuipata toka umaji-maji ujitokeze.


Nitajuaje kama nimepatia?


Ni rahisi, ingiza kidole kisha fanya Kegel na utahisi kidole chako kikibanwa na kuachiwa.

Fanya zoezi hili kila siku, mahali popote na utapata matokea(utaona mabadiliko) ndani ya miezi miwili hadi minne kwa wale wenye uke mpana.

Ikiwa wewe uke wako uko sawa (sio mpana)na unafanya Kegel ili kuongeza raha ya kufanya mapenzi basi itakuchukua wiki moja. Hakikisha unafanya zoezi hili kila wakati unapofanya mapenzi na hakikisha anapokaribia mbane-mwachie na kamua "cream" yote.

Pia Kegel inaweza ikafanywa kwa kulala chali, weka mikono huku nahuku kisha ipumzishe kwenye sakafu alafu kunja miguu yako sehemu ya magoti na vikanyagio viwe sambamba kwenye sakafu kisha inua kiwili-wili chako kwenda juu baki hapo juu (huku ukiwa umebana msuli ya uke kama vile unazuia mkojo usitoke) kwa muda kisha rudi chini na rudia tena kadiri uwezavyo.@pretty n
 
Tumia superglue yani itabana mpaka bhaas!(joking),mbali na mazoezi ya kegel kuna styles ambazo pia unaweza kubananisha miguu yako na hivo kufanya kitu kubana hadi jamaa kuhisi kama kuna kitu kinaifyonza dushelee yake ambapo humpa utamu usiopimika,ishu ni kwamba uwe huru kufanya chochote na kuondoa mawazo hasi juu yako kwa jinsi atakavokufikiria
 
kuna hii kitu inaitwa SHABU hembu ijaribu, kwa maelezo zaid niPM

usijaribu hata siku moja kutumia shabu kwani inalegeza kuta za uke. kumbuka shabu ni local alum (aluminium potassium salphate). kazi ya potassium mwilin ni kupunguza muscle fatigue yaani kulegeza sasa usimdanganye mwenzio kamwe kamwe.
 
dada, kuna mazoezi unatakiwa kufanay, kwaza kabisa kaa muda mrefu bila kufanya, pili wakati unakojoa uwe unabana mkono kama sekunde kumi na kuachia unabana unaachia, unabana unaachia, hiyo huwa inarudisha k kabisa. ukishindwa, nipm mimi nina mguu wa mtoto.....tatizo hili linawapata wanawake karibia wote baada ya kujifungua. kukaa muda mrefu bial kufanya namaanisha at least a year...sasa sijui kama utaweza, ukishindwa nipm....hakuna kitu kinaboa kama kuwa na dem afu anakuwa na pango...wengine wembambaa lakini ukitia mguu hata kama una mguu wa mtoto unashangaa imepwaya tu na hana utundu wa kubana kuta za k...wanawake mnahitaji kitchen party sana....fanya mazoezi kubana k ili kubana mb...kuna wanawake wengine unakutana nao yaani aanabana mb vizuri kule ndani utafikiri ameishikilia na mikono anavyobana kuta na kuishika mb kwa kuta za k....
mkuu naomba nikusahihishe swala la kuzaa halisababish k kuwa kubwa kamwe. kwania hata ukipata tearing hosp lazima wakushone ili kurudisha ile size.

kulegea kwa kuta husababishwa zaid na maumble ambayo mtu amezaliwa nayo. pamoja na sababua nyingine kama vile wale wanaozalia maeneo ambayo wakichaniaka hawawez kushonwa, ama ambaowanatumia madawa fulan and so on

jinsi ya kurudisha ni mazoez kama ulivyoeleza hapo juu, kwa kuongeza pia mtu anaweza kuwa na tabia ya kukaa sehem ngumu kama vigoda ama mikeka chni hii kwa wajuzi hua ukiwa umekaa hapo basi unafanya mazoez ya kegel. pia avoid matumiz ya maji ya moto wakati wa kuoga na kamwe usitumia shabu kwenye maeneo ni hatari. barafu ama maji ya barid sana husaidia kurudisha na hii ukiwa unatumia huku unafanya zoez basi misuli hurud sana.
 
Jamani waungwana naomba kujua ni jinsi gani au ni njia zipi unaweza kufanya ili sehemu za siri zibane? hili tatizo ni la wengi na ninaamini wengi watafaidika na mawazo yenu. Asanteni
NB; Naomba u reply endapo una nia ya kutoa msaada au kuchangia mawazo na c vinginevyo. Karibuni.......

Kama hujaolewa acha kufanya mapenzi hadi kwa mumeo. Kufanya mapenzi hovyo hovyo hufanya uke utanuke na hata kama utafanya haya maelekezo uliyopewa hapa haitakusaidi kama wewe ni kicheche.
 
dada, kuna mazoezi unatakiwa kufanay, kwaza kabisa kaa muda mrefu bila kufanya, pili wakati unakojoa uwe unabana mkono kama sekunde kumi na kuachia unabana unaachia, unabana unaachia, hiyo huwa inarudisha k kabisa. ukishindwa, nipm mimi nina mguu wa mtoto.....tatizo hili linawapata wanawake karibia wote baada ya kujifungua. kukaa muda mrefu bial kufanya namaanisha at least a year...sasa sijui kama utaweza, ukishindwa nipm....hakuna kitu kinaboa kama kuwa na dem afu anakuwa na pango...wengine wembambaa lakini ukitia mguu hata kama una mguu wa mtoto unashangaa imepwaya tu na hana utundu wa kubana kuta za k...wanawake mnahitaji kitchen party sana....fanya mazoezi kubana k ili kubana mb...kuna wanawake wengine unakutana nao yaani aanabana mb vizuri kule ndani utafikiri ameishikilia na mikono anavyobana kuta na kuishika mb kwa kuta za k....

Msiwe mnakurupuka na mambo msiyoyajua mtakuja kuumiza watu.

Kubana mkojo ni kujitafutia matatizo kwenye njia ya mkojo. Unachotakiwa kufanya ni kuutambua msuli unaoutumia kubana mkojo na kuufanyia mazoezi wakati huna mkojo na sio kubana mkojo wenyewe.

Hata wanaume wanaweza kufanya mazoezi haya. Yanaitwa Kegel
 
du noma, ngoja nami nijaribu mazoezi maana nahisi cmtendei haki laaziz wangu kwan anapenda nibane nami siwezi kbs kubana.
 
Tatizi hili huwatokea zaidi wanawake walio kaika umri mkubwa ingawa pia linaweza kutokea katika umri mdogo.

Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya uke hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo.

Tukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia.Hapa misuli inayoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa utahisi nyama zimejaa ukeni.
Chanzo cha tatizo
Kulegea kwa misuli ya uke hutokana na matatizo mbalimbali hasa uzazi wa karibu karibu.....

Mama anayezaa kwa vipindi viwili vifupi vifupi kwa njia ya kawaida hupatwa na tatizo hili.....

Pia kuna kulegea kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones)vya kike,kulegea kunaweza kusababishwa na magonjwa sugu kama kansa,TB na maambukizi ya HIV,Magonjwa ya zinaa haswa kawende pia huchangia.

Mama anayeongezwa njia, baada ya uke kutanuka misuli pia inalegea,ingawa uke pia unaweza kutanuka hata bila ya misuli kulegea.

Tatizo hili la kulegea misuli pia huchangiwa na umri mkubwa kwahiyo kwa wabibi hali hii inapojitokea ni kawaida hasa kuanzia umri wa miaka 70 na kuendelea.
Dalili za tatizo

Mama mwenye tatizo hili wakati wa kujisafisha ukeni atahisi kama tundu limeziba au limejaa nyama na inabidi atumie muda kujisafisha ....

Mara nyingi atakuwa anasumbuliwa na muasho na uchafu wa mara kwa mara wakati wa kufanya tendo la ndoa, maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko na maumivu wakati wa tendo la ndoa.

Tatizo hili likiwa na uambukizo wa muda mrefu ukeni,humfanyamama asijiskie wakati wa tendo la ndoa,maumivu wakati wa tendo la ndoa ambayo hutokea pale tu inapotokea michubuko,uambukizi huweza kupanda hadi kwenye mlango wa uzazi,tumbo la uzazi,mirija na vifuko vya mayai.

Maambukizo yanapofikia huko mama huumwa na tumbo chini ya kitovu mara kwa mara,mwenendo wa siku za hedhi huvurugika kupata ujauzito.

Hali ya kulegea kwa misuli ya uke pia humuathiri hata mume kwani naye hushindwa kufurahia tendo la ndoa,kulegea na kutanuka kwa uke yote huathiri mahusiano ya kimapenzi kwani mama hafurahii na baba yake hafurahii tendo la ndoa.

Katika kutanuka kwa uke tumeona kuwa uke unatanuka zaidi ya kipenyo chake cha halali ambacho ni sentimeta nne,hivyohivyo kipenyo cha uume ni sentimeta nne.

Utawezaje kujua kama unatatizo?

Mama mwenye tatizo la kutanuka kwa uke au kulegea kwa misuli ya uke anaweza kujigundua kwa kufuatilia dalili zote.Njia nyingine pitisha vodole viwili ukeni kama vitapwaya ongeza viwe vitatu vikiweza kuingia vitatu au zaidi bila shida yoyote sambamba na dalili ambazo tumekwisha ziona basi ujue unatatizo hili la kulegea kwa misuli ya uke inapolegea kama tulivyoona hapo awali utahisi kitu kinajaa au kuvimba au nyama zinajitokeza ukeni unapochuchumaa.
Uchunguzi

Muone daktari wa magonjwa ya akina mama kwa uchunguzi na ushauri wa tiba.

Vipimo mbalimbali vitafanyika kubainisha tatizo kama kipimo cha damu,vipimo vya ukeni mfano kipimo cha speculum examination,kuotesha uchafu wa ukeni,kama mama ana maumivu ya tumbo vipimo vya ultrasound pia vitafanyika,mwenendo wa mfumo homoni na historia ya tatizo kwa ujumla itafanyiwa tathimini,vilevile itasaidia kujua kama tatizo ni la kuzaliwa nalo,uzazi wa karibu karibu au ni nini.

Uchunguzi huu ufanyika ili kuweza kupanga tiba ambayo huwa zaidi ya umoja ili kuweza kufanikisha.
Matibabu na ushauri
Tiba hutolewa katika Hospitali kubwa au katika cliniki maalum za magonjwa ya akinamama,tiba ni kurekebisha misuli hiyo kwa njia ya upasuaji mdogo na baadhi ya dawa ili kumrudisha mama katika hali ya kawaida.

Mwanamke aepuke vyanzo mbalimbali mojawapo ni uzazi wa karibu karibu hivyo afuate uzazi wa mpango uwe wa kalenda,sindano,vidole au vijiti au kitanzi.

Epuka kupata magonjwa au maradhi ya ukeni mara kwa mara kwa kujisafisha vizuri na unapohisi tu unatatizo ukeni haraka muone daktari anayeshugulika na magonjwa ya kinamama kwa msaada mkubwa.

Kula Chakula bora hasa mboga za majani na matunda mara kwa mara kwa kulinda na kuimarisha mwili mojawapo ni kuweka sawa mwenendo wa mfumo wa homoni kuimarisha muonekano wa mwili na viungo vya uzazi na upevushaji wa mayai.Wahi hospitali kwa uchunguzi.
 
CHANZO CHA KULEGEA KWA MISULI YA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE ......( USHAURI NA TIBA )




Tatizo la kulegea kwa misuli ya sehemu za siri za mwanamke au kitaalamu Vaginal prolapsed huwatokea zaidi wanawake wenye umri mkubwa ingawa pia linaweza kuwakumba hata wenye umri mdogo.

Tunapozungumzia kulegea kwa misuli ya sehemu za siri hapa kuna tofauti kidogo na kutanuka kwa misuli hiyo.


Tukizungumzia kulegea ina maana misuli ya ukeni inashindwa kubana na kuachia njia. Hapa misuli inayoachia njia inapolegea hata ukichuchumaa huhisi nyama zimejaa ukeni.

Kulegea kwa misuli hiyo hutokana na matatizo mbalimbali na hasa mwanamke anapozaa uzazi wa karibukaribu, au kutokana na matatizo ya vichocheo (Hormones) za kike, pia kunaweza kusababishwa na magonjwa sugu kama kansa, kifua kikuu (TB) na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa.

Mama anaweza kupatwa na tatizo hili anapojifungua kwa kuongezwa njia.Tatizo hili la kulegea misuli pia huchangiwa na umri mkubwa kwa hiyo kwa wanawake wazee hasa wanapofikisha umri wa miaka 70 na kuendelea wanaweza kupatwa na tatizo hili.

Dalili
Mwanamke mwenye tatizo hili wakati wa kujisafisha ukeni atahisi kama sehemu yake ya siri imeziba au imejaa nyama na inamfanya atumie muda mrefu kujisafisha. Mara kwa mara atakuwa anasumbuliwa na kuwashwa sehemu hiyo na kutokwa na uchafu wakati wa kufanya tendo la ndoa.



Pia atahisi maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa. Baada ya muda maumivu yanakuwa makubwa mpaka inafikia mwanamke huumwa tumbo chini ya kitovu mara kwa mara.
Dalili nyingine ni mwenendo wa siku za hedhi huvurugika na inakuwa shida kupata ujauzito.

Hali ya kulegea kwa misuli ya uke pia humuathiri hata mume kwani naye hushindwa kufurahia tendo la ndoa.
Kulegea au kutanuka kwa uke huathiri uhusiano wa kindoa kwani mama hafurahii tendo hilo kutokana na kupata maumivu badala ya kustarehe.

Mwanamke mwenye tatizo la kutanuka kwa sehemu zake za siri anaweza kujigundua mwenyewe hata kabla ya kumuona daktari kwani dalili tumezitaja hapo juu .

TIBA NA USHAURI
Muone daktari wa magonjwa ya akina mama kwa uchunguzi na ushauri wa tiba.


Vipimo mbalimbali vitafanyika kubainisha tatizo kama vile kipimo cha damu, vipimo vya ukeni mfano kama vile kiitwacho Speculum examination, kuotesha uchafu wa sehemu za siri na kuvipima na kama mama ana maumivu ya tumbo vipimo ataweza kupimwa kwa Ultrasound.


Daktari anaweza kuangalia mwenendo wa mfumo wa homoni na historia ya tatizo kwa ujumla kwa mama mhusika na akafanya tathmini kwani itasaidia kujua kama tatizo ni la kuzaliwa nalo, uzazi wa karibukaribu au ni nini. Uchunguzi huu utafanyika ili kuweza kumpatia mgonjwa tiba.

Tiba ya maradhi haya hutolewa katika hospitali kubwa au katika kliniki maalum za magonjwa ya wanawake ambapo mwenye tatizo hupewa dawa za kurekebisha misuli hiyo au hufanywa kwa njia ya upasuaji mdogo ili kumrudisha mwanamke katika hali yake ya kawaida.

GPL

 
Hi sana Watanzania.

Chanzo cha uke legevu au mpana ni hali ya uke kushindwa kubana uume wakati wa tendo. Hii husababishwa na kukatika kwa misuli ndan ya uke {elastic muscles} ambayo hutuna na kubana uume wakat wa sex. Ikumbukwe kuwa uke unaweza kutanuka size kubwa zaidi uume wa mwanaume yeyote.

Chanzo ni ngono za utotoni before kubalehe pamoja na finger sex. tambua kuwa huko Ulaya na kwingneko wanawake weng ni wahanga wa tatizo hili maanake wanawahi sex sana na hili tayari limeenea dunia nzima.

USHAURI: Usitumie dawa ati kuongeza maumbile wakati partner wako alishaharbika misuli ndan ya Uke na unamuona tatzo. Wanawake wengi hawana raha maana yake kwao hili ni janga.

Wewe Unasemaji kama mdau.
 
Back
Top Bottom