Kulegea kwa misuli ya uume

Kulegea kwa misuli ya uume

Joined
Feb 20, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Habari wakuu kuna taarfa mimekuwa nikizisikia kuwa kubanwa na mkojo kwa muda mrefu hasa nyakat za usiku huchangia kulegea kwa misuli/mishipa ya uume! je ni kweli?
 
Ni kweli kabisa huchangia kwa kiasi kikubwa hata kudhoofisha uwezo wa tez kufanya kazi.
 
Mi nakushauri kitu kimoja mkuu uachane na mbinu ya ushindi wa CCM MKUU ni hatari sana kwa afya yako kiongozi. Ooh.
 
Habari wakuu kuna taarfa mimekuwa nikizisikia kuwa kubanwa na mkojo kwa muda mrefu hasa nyakat za usiku huchangia kulegea kwa misuli/mishipa ya uume! je ni kweli?

hiyo sio kweli kabisa....so uwe na amani tu.
 
Back
Top Bottom