Kuleni ila kwa urefu wa kamba zenu: Is she guilty or not?

Kuleni ila kwa urefu wa kamba zenu: Is she guilty or not?

Nini itakuwa hatima ya watanzania wanyonge hawa mil. 60 ikiwa maana ya kuwa kiongozi kwa sasa siyo kuwatumikia wananchi bali ni kufanya jitihada kubwa kwenye kupima urefu wa kamba yako.
 
Wacha waibe ili na sisi tusiokuwa na connection tupate...enzi za magu walibanwa sana
 
Kwa haya yanayoendelea mnataka niwe mzalendo, nah kwa kweli.
 
Uzalendo ulikuwa enzi za nyerere

Mama anajua jinsi hali halisi ilivyo sahiv kudhibiti ufisadi haiwezekani hivyo basi kama kula we kula tu ila usizidishe ikawa sifa ukaumiza wengine


Kula kwa urefu wa kamba yako
Ufisadi unazuilika kwa asilimia 100 ni kitendo cha maamuzi tu cha mtu mwenye mamlaka kupitisha Sheria ya kifo na kifungo cha maisha kwa kitendo cha ufisadi. Tatizo ni hakuna mtu wa kufanya maamuzi hayo sababu wote ndio walewale.

Binadamu wapuuzi wasiojitambua ili wakuelewe ni lazima utumie nguvu.
 
Back
Top Bottom