Nini itakuwa hatima ya watanzania wanyonge hawa mil. 60 ikiwa maana ya kuwa kiongozi kwa sasa siyo kuwatumikia wananchi bali ni kufanya jitihada kubwa kwenye kupima urefu wa kamba yako.
Ufisadi unazuilika kwa asilimia 100 ni kitendo cha maamuzi tu cha mtu mwenye mamlaka kupitisha Sheria ya kifo na kifungo cha maisha kwa kitendo cha ufisadi. Tatizo ni hakuna mtu wa kufanya maamuzi hayo sababu wote ndio walewale.
Binadamu wapuuzi wasiojitambua ili wakuelewe ni lazima utumie nguvu.