Kuleni mapema msije mkalala njaa

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Hope mko poa wadau wamichezo.

Muda mfupi ujao moto unaenda kuwaka kwa mwananchi kumnyofoa mamelodi kucha. MUNGU ibariki Yanga tupate matokeo mema [emoji120][emoji120].

Ikifuatiwa na mtani dunduka sc ambao wapo kikaangoni kukaangana na waarabu pale Cairo 🥹🥹🥹.

Nawakumbusha mle mapema kabla ya mechi hizo maana matokeo yanaweza kukufanya ulale njaa.

Nawatakia utazamaji mwema wa mechi hizo[emoji120][emoji120].
 
we ndio ule ushibe maana msiba wako unawahi mapema sana
 
Sala zangu wote wawili waondolewi mapema kelele ziushe, katika media zote maneno ya mekua mengi sifa nk tunahitaji amani na utulivu.
 
Wewe na mimi hatuchezi, ila hizo ramli sio, ok..we start with you, the we come again
 
Sala zangu wote wawili waondolewi mapema kelele ziushe, katika media zote maneno ya mekua mengi sifa nk tunahitaji amani na utulivu.
We usiwasikilize mkuu fuata hobby yako
 
Poleni wale wote ambao ubao hautakua upande wenu
 
Ushauri mzuri
 
Muda mfupi ujao moto unaenda kuwaka kwa mwananchi kumnyofoa mamelodi kucha. MUNGU ibariki Yanga tupate matokeo mema .
usisahau pia kumbetia Yanga kwa kuweka pesa mil. 10 upige mkwanja mrefu mil. 120.
 

Attachments

  • IMG_20240405_112255.JPG
    16.5 KB · Views: 2
Ukitaka uwehuke fanya huo utaratibu
mwanayanga anaamini hii mechi ni lazima ashinde, kwa kuwa ana uhakika ndo mana nimemwambia aibetie.

nilichogundua ni kwamba anajipa matumaini hewa ingali na yeye hajiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…