Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,846
- 2,754
Hope mko poa wadau wamichezo.
Muda mfupi ujao moto unaenda kuwaka kwa mwananchi kumnyofoa mamelodi kucha. MUNGU ibariki Yanga tupate matokeo mema [emoji120][emoji120].
Ikifuatiwa na mtani dunduka sc ambao wapo kikaangoni kukaangana na waarabu pale Cairo 🥹🥹🥹.
Nawakumbusha mle mapema kabla ya mechi hizo maana matokeo yanaweza kukufanya ulale njaa.
Nawatakia utazamaji mwema wa mechi hizo[emoji120][emoji120].