Kuleta golikipa kutoka nje kama taifa tunakwama sana

Kuleta golikipa kutoka nje kama taifa tunakwama sana

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Wasalaam,

TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa kabisa kukaa langoni mhm mazoezi na kocha wa makipa akiwa mzuri inatosha.

Hivi kweli Watz tunaenda kuajiri kipa wa nje ya taifa letu kweli.

TFF angalieni hili sio sawa!
 
Nawe mtoa mada vipi sema wanakosea yanga sio taifa

Aaron kalambo jeremia kisubi metacha air manula taifa linahusika nni na ujenzi uko utopoloni
 
hata mimi nimeshangaa.
Sio umeahangaaa...tumeamua bass tusiwe wazalendo....ninyi mna wachezaji wengi wa kigen na wanawasaidia Sana tu, mbna hamkupga kelele kwa faryku , kindoki na wengineo, yanga ni mbivu kuliko Azam nakubali na mm ni mwananchi , Azam wanakosa tu hamasa ya mashabiki , ...hebu acha yanga wajenge timu.....hii timu ya taifa ni mbovu tu mbona ,,,,,af Hakuna usiforce sheria ya lazma kuwa na golia mzawa....haina maana , Kuna muda Simba huanza na wageni Tisa vipi hapo
 
ARSERNAL
MANCHESTER UTD
LIVERPOOL
MAN CITY
CHELSEA
BARCELONA
REAL MADRID
PSG


Hizo klabu zote zinaaibisha mataifa yao kwa kuleta magolikipa wa NJE.

Kama aibu ndio inafanya hizo timu ziwe na idadi kuwa ya mashabiki ulimwenguni basi acha Yanga nao waendelee kuaibisha TAIFA.
 
Wachezaji kutoka nje ni rahisi kupiga 10 percent kuliko wa ndani.
 
hata mimi nimeshangaa.
Acha unafiki na wewe, kipi Cha ajabu kusajiri lips wa nje? Umweke kisubi adhake dhidi ya Zamaleki ni ni tabu hiyo. Tuseme ukweli ukiondoa Manila, bongo hakuna makipa, alikuwa anakuja vizuri kakolanya ila nae benchi limemwua.
 
Mkuu mbona vilabu vikubwa duniani viliajiri,vimeajiri na vitaajiri magolikipa wa kigeni? Ni jambo la kawaida kwenye soka
Nalog off
 
Mimi ni Mwananchi! Siungi mkono hata kidogo. Sababu za kumuacha Metacha Mnata zilikuwa ni za kujikosha zaidi kuliko uhalisia. Bora hata ya Farouk Shikalo, alistahili kuondoka.
 
Mkuu mbona vilabu vikubwa duniani viliajiri,vimeajiri na vitaajiri magolikipa wa kigeni? Ni jambo la kawaida kwenye soka
Nalog off
Hofu yao kuu ni kuona uimarikaji wa kikosi. sio kwamba hawajui kuwa hata Real Madrid & Barcelona wana walinda milango kutoka nje ya mataifa yao.
 
Mimi ni Mwananchi! Siungi mkono hata kidogo. Sababu za kumuacha Metacha Mnata zilikuwa ni za kujikosha zaidi kuliko uhalisia. Bora hata ya Farouk Shikalo, alistahili kuondoka.
Mchezo wa kuendekeza utovu wa nidhamu kwenye timu ndio kilichopelekea Mkude kujiona ana haki ya kumtaka kimapenzi CEO wa klabu ambaye ni supu ya bosi pia.
 
Kuna yule dogo anadakia Mwadui somebody Mbisa ni keeper mzuri sana, nakumbuka aliwabania sana yanga kwa Mkapa mechi ya mwisho, anahitaji mechi za kimataifa apate uzoefu.
 
Lakini mpaka sasa inaoneakana Yanga wanapendekeza wachezaj wa nje wawe 12 badala ya 10
 
Back
Top Bottom