Sio umeahangaaa...tumeamua bass tusiwe wazalendo....ninyi mna wachezaji wengi wa kigen na wanawasaidia Sana tu, mbna hamkupga kelele kwa faryku , kindoki na wengineo, yanga ni mbivu kuliko Azam nakubali na mm ni mwananchi , Azam wanakosa tu hamasa ya mashabiki , ...hebu acha yanga wajenge timu.....hii timu ya taifa ni mbovu tu mbona ,,,,,af Hakuna usiforce sheria ya lazma kuwa na golia mzawa....haina maana , Kuna muda Simba huanza na wageni Tisa vipi hapohata mimi nimeshangaa.
Agiza bia hapoARSERNAL
MANCHESTER UTD
LIVERPOOL
MAN CITY
CHELSEA
BARCELONA
REAL MADRID
PSG
Hizo klabu zote zinaaibisha mataifa yao kwa kuleta magolikipa wa NJE.
Kama aibu ndio inafanya hizo timu ziwe na idadi kuwa ya mashabiki ulimwenguni basi acha Yanga nao waendelee kuaibisha TAIFA.
Metacha ile Ni takataka.....Tuwasajili makipa wa ndani ili iwe rahisi kuwahonga wauze mechi kama metacha?
Acha unafiki na wewe, kipi Cha ajabu kusajiri lips wa nje? Umweke kisubi adhake dhidi ya Zamaleki ni ni tabu hiyo. Tuseme ukweli ukiondoa Manila, bongo hakuna makipa, alikuwa anakuja vizuri kakolanya ila nae benchi limemwua.hata mimi nimeshangaa.
Hofu yao kuu ni kuona uimarikaji wa kikosi. sio kwamba hawajui kuwa hata Real Madrid & Barcelona wana walinda milango kutoka nje ya mataifa yao.Mkuu mbona vilabu vikubwa duniani viliajiri,vimeajiri na vitaajiri magolikipa wa kigeni? Ni jambo la kawaida kwenye soka
Nalog off
Mchezo wa kuendekeza utovu wa nidhamu kwenye timu ndio kilichopelekea Mkude kujiona ana haki ya kumtaka kimapenzi CEO wa klabu ambaye ni supu ya bosi pia.Mimi ni Mwananchi! Siungi mkono hata kidogo. Sababu za kumuacha Metacha Mnata zilikuwa ni za kujikosha zaidi kuliko uhalisia. Bora hata ya Farouk Shikalo, alistahili kuondoka.