Kuletwa kwa Mels Daalder (head of scouting) Simba sc ni kubadili mfumo wa upigaji kutoka direct way to indirect way

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Wahenga wanasema "ukimuona Kobe juu ya mti kawekwa" na ukimuona ngedere posta/ kariakoo basi ujue anafugwa.

Ipo hivi kutokana na kelele za upigaji pesa Kama Mo dewji alivyokuwa akiongea pale Simba sc.

Wajanja wa mjini wameamua kutumia indirect way pesa ipite kwa mtu Kisha ijae mahala husika na ndiyo maana akawekwa mtu kivuli (head of scouting).

Nimepitia CV zake kubwa kuliko eti ni shabiki kindaki ndaki wa Simba sc na anaipenda sana Simba kutokana na kuzungumza lugha nyingi uongozi umeona umpe kitengo Cha head of scouting.

Kwa hiyo basi hata shabiki wa Yanga makame Kama angekuwa ana rangi Nyeupe na jinsi anavyoipenda Yanga kila inaposafili na yeye Yupo basi hata makame angelamba kitengo hicho Cha head of scouting.

Hapo nadhani nimeeleweka kwa mfano maridhawa nilioutoa, kuwepo kwa Mels Daalder Simba ni kivuli tu Cha watu wachache kilichochoka kupigiwa makelele kutokana na utafunaji wa Pesa za usajili.

Wanasimba msitegemee furaha, hakuna kilicho badilika.

Nawasilisha hoja.
1685033518482.jpg
 
Nimecheka Sana na ukweli tupu

Ila najaribu kunganisha doti ,uandishi umejitahidi Sana kuandika Aya nyembamba ,tofauti na kule hua zinaa Jaa nyama Sana

NALIA
Sio wewe kweli !
 
Sio muda mrefu utopolo mtajibu maana Simba walianza kuajili CEO mkageza, mchambuaji video mkageza tunawajua kinachowauma mtashindwa kumwajili maana amesema yeye mnazi wa wekundu
 
Nimecheka Sana na ukweli tupu

Ila najaribu kunganisha doti ,uandishi umejitahidi Sana kuandika Aya nyembamba ,tofauti na kule hua zinaa Jaa nyama Sana

NALIA
Sio wewe kweli !
Wapi Tena mkuu
 
Wahenga wanasema "ukimuona Kobe juu ya mti kawekwa" na ukimuona ngedere posta/ kariakoo basi ujue anafugwa.

Ipo hivi kutokana na kelele za upigaji pesa Kama Mo dewji alivyokuwa akiongea pale Simba sc.

Wajanja wa mjini wameamua kutumia indirect way pesa ipite kwa mtu Kisha ijae mahala husika na ndiyo maana akawekwa mtu kivuli (head of scouting).

Nimepitia CV zake kubwa kuliko eti ni shabiki kindaki ndaki wa Simba sc na anaipenda sana Simba kutokana na kuzungumza lugha nyingi uongozi umeona umpe kitengo Cha head of scouting.

Kwa hiyo basi hata shabiki wa Yanga makame Kama angekuwa ana rangi Nyeupe na jinsi anavyoipenda Yanga kila inaposafili na yeye Yupo basi hata makame angelamba kitengo hicho Cha head of scouting.

Hapo nadhani nimeeleweka kwa mfano maridhawa nilioutoa, kuwepo kwa Mels Daalder Simba ni kivuli tu Cha watu wachache kilichochoka kupigiwa makelele kutokana na utafunaji wa Pesa za usajili.

Wanasimba msitegemee furaha, hakuna kilicho badilika.

Nawasilisha hoja.
View attachment 2638967
Nyie ndala tulieni hivyo hivyo sasa hivi utaskia engineer nae ame copy si unajua mambo mazuri simba ndiyo huwa ana yaanzisha.
 
Upigaji mpya huo save my post utakuja kunishukuru.
 
Wahenga wanasema "ukimuona Kobe juu ya mti kawekwa" na ukimuona ngedere posta/ kariakoo basi ujue anafugwa.

Ipo hivi kutokana na kelele za upigaji pesa Kama Mo dewji alivyokuwa akiongea pale Simba sc.

Wajanja wa mjini wameamua kutumia indirect way pesa ipite kwa mtu Kisha ijae mahala husika na ndiyo maana akawekwa mtu kivuli (head of scouting).

Nimepitia CV zake kubwa kuliko eti ni shabiki kindaki ndaki wa Simba sc na anaipenda sana Simba kutokana na kuzungumza lugha nyingi uongozi umeona umpe kitengo Cha head of scouting.

Kwa hiyo basi hata shabiki wa Yanga makame Kama angekuwa ana rangi Nyeupe na jinsi anavyoipenda Yanga kila inaposafili na yeye Yupo basi hata makame angelamba kitengo hicho Cha head of scouting.

Hapo nadhani nimeeleweka kwa mfano maridhawa nilioutoa, kuwepo kwa Mels Daalder Simba ni kivuli tu Cha watu wachache kilichochoka kupigiwa makelele kutokana na utafunaji wa Pesa za usajili.

Wanasimba msitegemee furaha, hakuna kilicho badilika.

Nawasilisha hoja.
View attachment 2638967
Naona matunda ya scout wetu yameanza kuonekana! 😃 Ameleta mpaka wavuvi wa Brazil na kuja kuwasainisha mkataba wa mamilioni.

Halafu baada ya siku chache kupita, mkataba unavunjwa kwa visingizio visivyo eleweka! Halafu wahuni wanagawana hela za mwekezaji.
 
Naona matunda ya scout wetu yameanza kuonekana! [emoji2] Anateka mpaka wavuvi wa Brazil na kuja kuwasainisha mkataba wa mamilioni.

Halafu baada ya siku chache kupita, mkataba unavunjwa kwa visingizio visivyo eleweka! Halafu wahuni wanagawana hela za mwekezaji.
Kazi wanayo [emoji16]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kazi ya Skauti siyo kusajili wachezaji. Ni kupoint wachezaji. Skauti hayuko juu ya kocha. Mwisho wa Yote wanaoamua nani aje nani asije ni viongozi. Niliandika kuhusu skauti wa Simba humu wasiojua wakadhihaki. Daadler kaja kuvumbua vipaji kwa ajili ya Simba ya kesho (vijana). Daadler, Mgunda, Patrick na Matola wamezunguka sana nchini kutafuta watoto wa Simba ijayo. Juzi wamemaliza na Dar. Simba imeingia makubaliano na baadhi ya shule za Dar es Salaam kwa ajili ya kuwasomesha hapo. Kazi ya kuijenga Simba inaanza soon. Anayemlaumu Daadler hana ajualo
 
Husizani rahisi, watu wana 10% zao.Simba na Yanga uhuni hauwezi kuisha,sababu watu mambo yao yanaenda kupitia hizi timu na msimu wa usajili ndio msimu wao wa kuvuna.

Si Simba,Yanga wala Azam wote hawana project endelevu. Azam alianza vizuri ila nao kaamua atumie fedha. Sasa hivi aliyebaki ni Mtibwa tu ndiye amewekeza kwenye soka la vijana na anaonekana yupo serious.
 
Back
Top Bottom