Kuletwa kwa Mels Daalder (head of scouting) Simba sc ni kubadili mfumo wa upigaji kutoka direct way to indirect way

Wizi hata ulaya upo. Tumeshuhudia timu na watu wengi wakipewa adhabu ya kukiuka taratibu. Watu wanachodhani Daadler ndo anayepewa hela anasajili. Daadler siyo Try again, Mo, Imani. Trust me hiki Simba anachokifanya kwa vijana ni kikubwa zaidi ya hivyo vya kina Mtibwa na Azam.
 
Tupo hapa JF nakupa asilimia mia hamna kitakacho fanikiwa. Ulaya kuna wizi ila sio kama huu wenu kila msimu wa usajili mnaletewa wachezaji vimeo.

Simba na Yanga project za vijana washashindwa, labda muwatumie maskauti kuwaletea wachezaji wenye vipaji kwa gharama ndogo,kuhusu soka la vijana mshashindwa.

Ukiona Simba na Yanga zina komaa na soka la vijana na kuwapa nafasi kaa ukijua club haina hela nazani unakumbuka ile Simba ya Julio iliyo chomoa zile goli tatu za Yanga,ilikuwa hoi kiuchumi na ilikuwa inabebwa na vijana, alivyo ingia Mo plus presha ya kukosa makombe misimu minne mkaachana na project.

Pili mashabiki wa bongo sio wavumilivu, tushazoea kutambiana kwenye vijiwe kipindi cha usajili, ukiwapandisha vijana kwenye timu kubwa ,hawa kuelewi na mchezaji mdogo ana hitaji mda,sizani kama kuna shabiki wa kibongo atakaye vumilia eti dogo mpaka azoee ligi.
 
Nakwambia ninachokijua wewe unaongea kimazoea. Sina haja ya kukujibu tena maadam najua ninachokisema
 
Nakwambia ninachokijua wewe unaongea kimazoea. Sina haja ya kukujibu tena maadam najua ninachokisema
Kimazoea kipi wakati juzi umejionea uhuni uliofanyika kwa kipa au hata hili nalo unataka tubishane.

Watu waache kupiga hela wakomae na soka la vijana,ambalo halina hela.
 
Umegonga mule mule
 
TUWAPONGEZE WATANI ZETU BADALA YA KUWABEZA.
Ni klabu ya kwanza Tanzania kuweka historia ambayo itachukua miaka mingi kufikiwa au isifikiwe kabisa.
Kusajili mchezaji nje ya nchi na kuachana nae huko huko nje ya nchi sio jambo dogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu scout wetu wapo kazini
 
FACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…