Magufuli anajenga flyover, Magufuli anajenga SGR, Magufuli anajenga uwanja wa ndege, Bajeti ya Magufuli, Magufuli anawakopesha wanachuo, Magufuli anajenga ikulu ya Chamwino, Nchi ya Magufuli, Serikali ya Magufuli, Corona ya Magufuli, Ndege za Magufuli, Samaki wa Magufuli,....Mbowe ndo chadema alishasema ni mali yake, kwa hiyo hakina.mwenye.mamlaka zaidi yake.
Wimbo uliotungwa bungeni. It is a fabrication aimed at defaming someone they fear. Hakuna mtu mweye akili sahihi itakae kubaliana hili. Watu wote siyo wajinga. Wapo waliowelevu hata wakiwa wachache.Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)
Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)
Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)
Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.
Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
Jabari kuu!Ccm yote inasumbuliwa na mtu mmoja tu Freeman Aikaeli Mbowe, huyu jamaa anawakosesha usingizi usalama wa taifu na maelfu ya wanasiasa wanaoitumia ccm kama kampuni binafsi.
They are singing the tune! They would not have said differently from what was fabricated by Ccm members of the House. Wimbo umetungwa bungeni utaimbwa na mihimili yote mitatu.Ni kweli kabisa mkuu!Huu unafiki wa CCM wa kutumia polisi kama chombo chao cha kudhalilisha wapinzani kuna siku Mungu atawaibua na kuwaumbua tu. Time will tell
Kamanda cheameni haiwezi konyagi
Magufuli anajenga flyover, Magufuli anajenga SGR, Magufuli anajenga uwanja wa ndege, Bajeti ya Magufuli, Magufuli anawakopesha wanachuo, Magufuli anajenga ikulu ya Chamwino, Nchi ya Magufuli, Serikali ya Magufuli, Corona ya Magufuli, Ndege za Magufuli, Samaki wa Magufuli,....
Mbona CCM kuna kiongozi mkubwa ni bangi bangi likishamkolea anaropoka tuUkisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)
Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za serikali bungeni (Waziri Mkuu)
Sasa kulewa chakari kwa kiongozi wa umma, saa tisa usiku wa manane,tena wakati vikao ya bunge vikiendelea, inaweza isiwe kosa kisheria(legality)
Lakini kwa kiongozi wa umma kulewa chakari, hapa kuna issue ya INTEGRITY.
Kwa hili kuna haja kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, kujitafakari kwa tabia hiyo ya ulevi.
Dhambi nyingine hiyo kuongea uwongoSasa kwa nini aseme uongo kashambuliwa wakati ni ghambe?
Mbowe anatoa pesa zake mfukoni kwa ajili ya chama, pale inapobidi wana CDM wanachanga. Magu anatembea na pesa za umma kwenye magari halafu anaanza kugawa, "Mimi ninatoa milioni 5 mchango wangu, na nyie toeni". Tumechoka kuona fedha za umma zinatumika kwa ajili ya misifa ya mtu binafsi.Ni kweli alakini hakusanyi pesa kwa ajili ya magufuli,
Lakini mbowe anakusana pesa kisha anatumia mwenyewe, na ole wenu wakolintho manaotaka kujua matumizi ya pesa, hukumu ya mbowe inawahusu.
Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader)