Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii.
Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii.
Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa kumfunga msanii mkubwa kwa tuhuma zilezile ili fundisho lifikie jamii ipasavyo?
Kwasababu kiki za zenye maudhui ya kingono zimekuwa kubwa sana kutoka kwa wasanii huko mitandaoni!
Serikali haioni kwamba hawa ndiyo wanafaa kufundishia jamii ikaelewa vizuri kwa kifungo kuliko kufunga kila siku wale wale duni?