Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
 

Attachments

  • FB_IMG_1784136826366.jpg
    FB_IMG_1784136826366.jpg
    133.6 KB · Views: 12
Unajua maana ya misaada.Hata mafuta ya mawese yamekushinda kuuza kwa pesa ya malawi ukanunuliwe dawa za ARV wanaokupa msaada leo unatumia internet na simu zao.
 
matajiri wote wanaichangia serikali. Tajiri na serikali ni watu wanaojuana. Tajiri akikwama serikali inam boost ili biashara yake isige kupitia (kodi na kumuwezesha kukopa) serikali ikikwama matajiri huwa wanaokoa jahazi
 
Back
Top Bottom