Kuliko ucheze na Waarabu bora ucheze na Shetani.

lengume

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
318
Reaction score
134
Nimeshuhudia mechi nyingi za waarabu. Mechi zao ni fitina na ulaghai wa kila namna.

Watanzania tujifunze fitna kwani wenzetu wana fitna nyingi sana.

Yaani kila saa hata wakiguswa shati anabiringita mara mia. Sijui haya ni mashoga.Takataka kabisa.
 
Wote tunalipenda Taifa letu, ila unachokisema sikioni kwenye mechi hii.
 
Acha matusi hapa, tujifunze kucheza mpira. Tanzania tumezoea wizi na ulaghai, wacha tuvune tulichokipanda.
 
Msihofu tumeshampelekea Jecha malalamiko,ameahidi atayafuta matokeo
 
Machezaji ya Yanga ovyo kabisa, ukweli ni kwamba hakuna stars imara pasipo na Simba imara.
Kubali kataa lakini huo ndo ukweli
 
hahaha sasa jecha afute matokeo ya uchaguzi kwani?
 
Machezaji ya Yanga ovyo kabisa, ukweli ni kwamba hakuna stars imara pasipo na Simba imara.
Kubali kataa lakini huo ndo ukweli

We akili yako ka ya mganga wa kienyeji! Usimba na uyanga wa nini tena?Ndio mana kiwango cha taifa stars ni cha mchangani!
 
Machezaji ya Yanga ovyo kabisa, ukweli ni kwamba hakuna stars imara pasipo na Simba imara.
Kubali kataa lakini huo ndo ukweli

Yaani wewe ndiyo mwenye akili nyingi.Nilisema hilo tangu mwaka jana,watu wakatukana.Lakini ukweli ndio huo.
 
Timu ialikwe bungeni. Ni mashujaa mimi nilitaraji 10 bila. 7 sio mbaya sana.
 
hahahaha. ..acheni visingizio.CCM Imefeli kila sekta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…