B Bigman 2012 Member Joined Apr 2, 2012 Posts 65 Reaction score 8 Jun 18, 2012 #1 Wana JF watu tunaenda field nextwk BODI YA MIKOPO ipo kimya, hatuna pesa za field. Tutaishi vipi huko?
Wana JF watu tunaenda field nextwk BODI YA MIKOPO ipo kimya, hatuna pesa za field. Tutaishi vipi huko?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jun 18, 2012 #2 Mtaishi kwa kudra za mwenyezi mungu.polen sana.
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Jun 18, 2012 #3 Msiende field basi
E EJay JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 693 Reaction score 172 Jun 19, 2012 #4 nadhani mtaingiziwa tu,huwa zinaingizwa siku kama tatu au nne kabla ya kwenda field.kama wakikaa kimya itabidi mlalamike na kwa kuwa waheshimiwa wako Dom ni fasta.
nadhani mtaingiziwa tu,huwa zinaingizwa siku kama tatu au nne kabla ya kwenda field.kama wakikaa kimya itabidi mlalamike na kwa kuwa waheshimiwa wako Dom ni fasta.