Kulikoni bodi ya mikopo elimu ya juu.

Kulikoni bodi ya mikopo elimu ya juu.

Bigman 2012

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
65
Reaction score
8
Wana JF watu tunaenda field nextwk BODI YA MIKOPO ipo kimya, hatuna pesa za field. Tutaishi vipi huko?
 
Mtaishi kwa kudra za mwenyezi mungu.polen sana.
 
nadhani mtaingiziwa tu,huwa zinaingizwa siku kama tatu au nne kabla ya kwenda field.kama wakikaa kimya itabidi mlalamike na kwa kuwa waheshimiwa wako Dom ni fasta.
 
Back
Top Bottom