Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wamemkumbusha ufisadi wake wa kuuza shule za Jumuiya ya wazazi, akaona bora a mute tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Bulembo, ni small fry katika chama kubwa ya CCM.Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!
Sio wote wana macho makavu.Tangu lini mswahili akawa na aibu?
Anakuibia unamuona na bado anajichekesha
Asee chalyangu rudisha faster ile avatar picha yako unapiga pushep kifua wazi na earphones.Wamemkumbusha ufisadi wake wa kuuza shule za Jumuiya ya wazazi, akaona bora a mute tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkaldayo ile avatar imepotea aisee, hata sikumbuki niliitoa wapi.Asee chalyangu rudisha faster ile avatar picha yako unapiga pushep kifua wazi na earphones.
Sauh'waaah
Ulikuwaga na ka avatar picha flani kachura flani kijani kamekunja nne. Si ukarudishako kuliko haka kabaloon.niliishawaambia mtu mwanamume mwenye mwanya au dimples sio wa kumtilia maanani sana.
wako nusu nusu sana kwenye mambo yao.
sasa kakutana na chakubanga asiyeshindwa kuongea.
Dah myebusi hahahaha . Kwa nini sasa ulibadilisha.Mkaldayo ile avatar imepotea aisee, hata sikumbuki niliitoa wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi yake yalitimia na kuzaa matunda, nikaamua kuipiga chini.Dah myebusi hahahaha . Kwa nini sasa ulibadilisha.
Hiyo ilikuwa intro tu, file kuu la Bulembo la wizi mkubwa analo Bashiru likipelekwa Takukuru ndio atajua kuwa kuwa mwanachama wa CCM kuanzia TAA hakumpi mtu Kinga!Wamemkumbusha ufisadi wake wa kuuza shule za Jumuiya ya wazazi, akaona bora a mute tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.
Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.
Hiyo ni approach mbaya.
Tunahitaji kubadilika.