Kulikoni Bulembo, kaufyata?

Kulikoni Bulembo, kaufyata?

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.

Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.

Kaufyata?!
 
Nachokiamini kuwa, ccm ili upate cheo, hausubiri tu kutoka kwa muumba

Wanapata vyeo kwa uganga na ulozi, huyo ulembo aliipataje hiyo nafasi aliyokuwepo kama siyo hirizi na madunguri!

Ni kwa ujuzi gani na elimu IPI alokuwanayo hadi awe mlezi wa wa kuzaa.?
 
Elimu ndogo ilofaidi nchi kwa kupiga mdomo mtupu nasasa watoto wanaendelea kula yeye ni kujipendekeza tuu(uchawa)!!
Mzeee anataka kubishana na vijana mwishowe kaitwa "Mhuni" akaona ajitulize!! Shule za wazazi kazifaidiii Leo anakosoa wenzie kwa tuvitu tudogo.
 
Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.

Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.

Kaufyata?!
Hata Bulembo, ni small fry katika chama kubwa ya CCM.
 
niliishawaambia mtu mwanamume mwenye mwanya au dimples sio wa kumtilia maanani sana.

wako nusu nusu sana kwenye mambo yao.
sasa kakutana na chakubanga asiyeshindwa kuongea.
 
niliishawaambia mtu mwanamume mwenye mwanya au dimples sio wa kumtilia maanani sana.

wako nusu nusu sana kwenye mambo yao.
sasa kakutana na chakubanga asiyeshindwa kuongea.
Ulikuwaga na ka avatar picha flani kachura flani kijani kamekunja nne. Si ukarudishako kuliko haka kabaloon.

Kammmmonnn
 
Aina ya siasa tuliyonayo hailisaidii Taifa letu.

Viongozi wanamtetea Rais na sio kuangalia maslahi ya Nchi.

Hiyo ni approach mbaya.

Tunahitaji kubadilika.

Rais atakuja na atapita ila Taifa linabakia pale pale.

Hivyo tunapaswa kuangalia katika jambo linojadiliwa je nini ni maslahi ya Taifa na sio nini ni maslahi ya mkuu wa nchi au yeye anapenda kusikia nini.
 
Back
Top Bottom