Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Mzee amepigwa kombora la hatari,amekimbizwa India kunusuru uhai wake.Ilikuwa ni vigumu kwa Bulembo kutokumjibu yule mwamba wa Kongwa.
Ajabu kimya kimetamalaki kutoka kwa mustaafu mpenda kutoa majibu kwa wale wote wakisemacho chama vinginevyo.
Kaufyata?!