Kulikoni bus za Sauli?

Hahahahhaha kweli. Jamaa kaandika hadi ishu za hotel na mdada atakayemtafutia nyumba ya kulala ili aendelee na safari ya Tunduma kama vile Tunduma ni mbali sana toka Mbeya.
 
Wewe ni mfano hai wa watanzania wengi wasiojua haki zao. Tiketi ya Sauli halafu unapandishwa basi lingine. Inawezekana ungepaza sauti ungesaidia wengi wenye tatizo kama hilo. Huna tofauti na wale wanaotaka katiba mpya lakini ukimuuliza unataka kitu gani kwenye katiba iliyopo kiondolewe hajui chochote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…