Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 308
- 403
- Thread starter
-
- #81
Hahaha sawa mkuuHi story ilikuwa fupi sana. But imejaa ushamba mwingi. Unaonekana tu hujawahi panda ndege, unataka kumdanganya huyo mwanamke kuwa una pesa. Una ushamba na safari n.k
Sisi ambao hupanda ndege huwa hatuna maelezo mengi kama hayo. Sijui nilitaka kupanda ndege sijui hotel. Ukiingia google ukasearch hotels za mbeya utazikuta na madaraja yake zipo nyingi sana. You dont need to ask. Usiwe unaweka hadharani ushamba wako. Unaaibisha wanaume wengi kwa mpigo.
AhsanteHii ndefu Sana ngoja nikusaidie
Nilikata tiketi basi la sauli muda wa safar sikuyakuta stand nikaelekezwa gari ingne , je sauli siku hizi hazipo
[emoji1][emoji1]Au anunue zhongtong hizo...unapambana na mtu anatumia gari ya kichina vifaa Bei rahisi mafuta haili sana unakuwa unaumia wewe hi ndo ile maswala ya unarusha bomu la dola 10000 kwenye tent ya dola 200 afu unakuta wahuni walishasepa
upo sahihi mkuu, abood ya tunduma kuisha mafuta njiani kwao ni jambo la kawaida kabisa, hili limenitokea mara tatu nikiwa abood ya tunduma.Ukistaajabu Ya Sauli Kutoonekana Stendi Ya Magufuli
Utaona Ya Abood Bus Toka Mwanza ~Dar Es Salaam
Kuishiwa Mafuta Njiani Maeneo Ya Makunganya
Hilo Ni Jambo Endelevu
Hiyo Kampuni Inaweza Safari Za Dar Es Salaam ~Morogoro Tuupo sahihi mkuu, abood ya tunduma kuisha mafuta njiani kwao ni jambo la kawaida kabisa, hili limenitokea mara tatu nikiwa abood ya tunduma.
Ni tikiti au tiketi?
Huenda ni hivyoTikiti ndyo kiswahili fasaha nishawahi ona imeandikwa sehemu.