Kulikoni bus za Sauli?

Kulikoni bus za Sauli?

Hi story ilikuwa fupi sana. But imejaa ushamba mwingi. Unaonekana tu hujawahi panda ndege, unataka kumdanganya huyo mwanamke kuwa una pesa. Una ushamba na safari n.k

Sisi ambao hupanda ndege huwa hatuna maelezo mengi kama hayo. Sijui nilitaka kupanda ndege sijui hotel. Ukiingia google ukasearch hotels za mbeya utazikuta na madaraja yake zipo nyingi sana. You dont need to ask. Usiwe unaweka hadharani ushamba wako. Unaaibisha wanaume wengi kwa mpigo.
Hahaha sawa mkuu
 
Au anunue zhongtong hizo...unapambana na mtu anatumia gari ya kichina vifaa Bei rahisi mafuta haili sana unakuwa unaumia wewe hi ndo ile maswala ya unarusha bomu la dola 10000 kwenye tent ya dola 200 afu unakuta wahuni walishasepa
[emoji1][emoji1]
 
Ukistaajabu Ya Sauli Kutoonekana Stendi Ya Magufuli
Utaona Ya Abood Bus Toka Mwanza ~Dar Es Salaam
Kuishiwa Mafuta Njiani Maeneo Ya Makunganya
Hilo Ni Jambo Endelevu
upo sahihi mkuu, abood ya tunduma kuisha mafuta njiani kwao ni jambo la kawaida kabisa, hili limenitokea mara tatu nikiwa abood ya tunduma.
 
upo sahihi mkuu, abood ya tunduma kuisha mafuta njiani kwao ni jambo la kawaida kabisa, hili limenitokea mara tatu nikiwa abood ya tunduma.
Hiyo Kampuni Inaweza Safari Za Dar Es Salaam ~Morogoro Tu

Ila Yaliyobaki Yanaishiwa Mafuta Njiani Kama Gauge Haionyeshi Vile
 
Back
Top Bottom