Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
vyama vya waropokaji na waporomosha matusi mitandaoni hufundishwa adabu kwenye sanduku la kura 🐒Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
Timinv mbovu sana. Walau wangefanya pale tu uchaguzi ulipoisha labda wangefika buku.Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
View attachment 3354026
😁😁😁😁Timinv mbovu sana. Walau wangefanya pale tu uchaguzi ulipoisha labda wangefika buku.
vyama vya waropokaji na waporomosha matusi mitandaoni hufundishwa adabu kwenye sanduku la ku
Mbususuvyama vya waropokaji na waporomosha matusi mitandaoni hufundishwa adabu kwenye sanduku la kura 🐒
Subiri kwanza CHAUMMA mpya moto wake....Hiyo ilikuwa ya Spunda ,subiri ya Kigaila.Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
View attachment 3354026
Nisubiri hadi lini, Chadema walipoteza account ya X wakafungua mpya, ila now Wana ma elfu ya followersSubiri kwanza CHAUMMA mpya moto wake....Hiyo ilikuwa ya Spunda ,subiri ya Kigaila.
Kwamba hawawezi piga kampeini Kwa gariSuala la Gwajima na kesi ya Lissu vimewapoteza kabisa. Kwa Sasa wanasubiria maajabu ya Helicopter.
Na wewe inabidi ufundishwe adabuvyama vya waropokaji na waporomosha matusi mitandaoni hufundishwa adabu kwenye sanduku la kura 🐒
😁😁Na wewe inabidi ufundishwe adabu kwa kupigwa miti na wahuni vichakani
Leo si tarehe 3 ,tunaomba up to date za ufunguzi wa jambo laoWakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
View attachment 3354026
vyama vya waropokaji na waporomosha matusi mitandaoni hufundishwa adabu kwenye sanduku la kura 🐒
Labda members wanasubiria mgawo wa simu janja!Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
View attachment 3354026
Yaani hata mwanangu wa mwisho kawashinda😂Wakati kina Mrema wanahama, walitangaza wao ndo walikuwa mastermind wa Chadema,na kuwa wamehama na wafuasi wengi. Chakushangaza mpaka Leo X ata wafuasi elfu Moja Hawana.
Je watanzania wamewapuuza Hawa madalali wa Siasa?
View attachment 3354026
Kwani kuna Mashindano ya Followers kati ya CHAUMMA na CDM? Mambo yashaanza FURAHISHA mwanza.Nisubiri hadi lini, Chadema walipoteza account ya X wakafungua mpya, ila now Wana ma elfu ya followers