Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
wakuu bodi ya mikopo ilitangaza watu waanze kuapply mikopo tarehe 1/05/2013..nimekua nikisajili wanafunzi ili wapate mikopo huu mwaka wa tatu sasa...ila kuanzia tarehe 1/05/2013 najaribu kuingia kwenye website ya bodi Welcome to HESLB ili niweze kuwasajili ila naona sehemu husika kwa ajili ya kuwasajili OLAS haipo active...nashindwa kuelewa maana nasikia watu wengine wameweza kujisajili sasa nauliza wamefanyaje?nimejaribu kwenye computer tatu mambo ni hayo hayo wakuu...tatizo ni nini? au bodi hawajaruhusu usajili? naombeni msaada