Kulikoni huyu kakamatwa haraka hivi na wenzake hata hawaguswi na wanafahamika ?

Jamani msaada wa ile thread .Leteni hapa jamaa wapate raha .
 
Una habari kuwa wauza gongo Dar wako salama sana kwa sababu wanalipa kodi polisi,yawezekana huyu kaanza biashara hii bila kujisajili polisi au kaingilia biashara ya mnene mmoja hapo mkoani.
 
Malila unaweza ukawa umetupa a big piece of info kwa utani lakinji ikawa kweli .Tanzania yetu hii ina maajabu mengi .
 
Back
Top Bottom