GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Miaka ya nyuma mimi nilikuwa mteja mzuri wa jolly club. Kila ninapofika pale hukutana na mabinti wazuri sana kutoka mikoa mbali mbali ya tz. Na kila baada ya muda mfupi huwasili mabinti wapya kutoka mikoani. Siku za karibuni nimejaribu kwenda jolly.wanawake nilokutana nao hawana mvuto kabisa na ni mishangingi iliyoshindikana.na kila unapoenda unakutana nao hao hao tu. Nikajaribu kuuliza sikupata majibu ya kuridhisha. Wengine waliniambi uongozi wa jolly wanawacharge wanawake alfu kumi ndio maana wamekimbia.wengine wakaniambia kwa sababu ya mtikisiko wa kiuchumi ,n.k. Nimejaribu kwenda sehemu zingine kama q bar, kinondoni.wanawake wa huko hawana mvuto na wengi wao ni mateja. Ningependa wana jf wenye kujuwa wapi hapa dar naweza kupata sehemu yenye mabinti wenye mvuto?? Nitashukuru sana kwa msaada wenu