Kulikoni Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi!

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
650
Reaction score
1,016
Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam.

Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi yamepungua?.

Pichani ni Mhandisi Zuwena akiwa pembeni ya Mhe. Dkt Mwinyi kwenye ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo
 
Attachments

  • IMG-20220717-WA0362.jpg
    IMG-20220717-WA0362.jpg
    86.1 KB · Views: 7
Kwa uelewa wangu Katibu Mkuu Kiongozi ni Mtendaji na anapaswa kutumia muda mwingi Ofisini na Wataalam.

Lakini naona tofauti kwa Katibu Mkuu Kiongozi wa SMZ Mhandisi Zuwena amekuwa busy kwenye mizungukoni ya Ziara za Mhe. Dkt Mwinyi, Rais wa SMZ. Je, majukumu ya Ukatibu Mkuu Kiongozi yamepungua?.

Pichani ni Mhandisi Zuwena akiwa pembeni ya Mhe. Dkt Mwinyi kwenye ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo
Sasa Zanzibar kuna kazi gani, mwache azunguke
 
na kila barua ya uteuzi au utenguzi lazima asaini yeye tu.
 
Back
Top Bottom