Kulikoni kazi za sensa??

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake?

Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.

 
Kwani wanatakiwa wenye sifa gani na mimi nikaombe?
 
Bado watakaochaguliwa ni wachache tu wanaohitajika..


Vip kwani hilo pia linakuumiza mkuu.!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…