RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
uzomeaji ulisababishwa na shutuma za rushwa kuongezeka kwenye serikali yake na waliokua wakimzomea ni wabunge toka upinzani
Sio kuzomea, waliingia na filimbi
Ha ha mkuu unamaanisha? Nimecheka kwa sauti ya chini,Bado huku kwetu, nkurunzinza wetu ni lazima azomewe bungeni
Wale wanazomea kwasababu ya usubutu wa magu kuondoa kitu hicho ,tena wakamzomee tatzo tz wapinzani hawaelewi wanataka serikal ifanye nn ndo maana kila kitu kwao ni gizaaa wanahitaji mwanga japo wa mshumaaa.Bado huku kwetu, nkurunzinza wetu ni lazima azomewe bungeni
Bado huku kwetu, nkurunzinza wetu ni lazima azomewe bungeni
Upuuzi wa kiwango Huu,Huku wakileta ujinga namna hiyo mwiisho wao 2020 hakuna nyumbu atakayechaguliw kuingia bungeni kwakuwa Magufuli ni sauti ya wanyonge
Akili za Lumumba hizi, uonevu Na ukatili mnaoufanya dhidi ya upanzania ni baraka kwenu? AiseeHaha TZ siyo Kenya Jeshi letu linaingia popote pale na kutoa kichapo kitakatifu!
Hii ni aibu sana kwa rais na serikali yake kwa ujumla.pia inaonyesha madhaifu makubwa sana (mnoo) kwa idara yao ya usalama hasa kitengo cha inteligence
Kazi ya intelligencia nini mkuu?Intelligence itaingiliana wapi na rais kuzomewa na opposition bungeni? Si mara ya kwanza hii kutokea.