Kulikoni kwenye Bongo Fleva?

Kulikoni kwenye Bongo Fleva?

Ubepari katika game ndio unaowaangusha wasanii kuna majitu yanataka kunyenyekewa na kuwanyonya wasanii kama hutaki kunyonywa unatupwa mbali ukafie mbele

Wakiamua Fulani awe hit ya kila kona inawezekana ukizingua unapigwa chini ..kila sekta kuna magianta lazima uwatii ili uweze kwenda sawa sio bongo tyu hata huko mambele..

Wakiamuua usitoke hutoki kwelia hata ukitumia ndumba utabaki kusikika msanii mkali lakini hamna lolote ..
 
Mkuu kwa hyo hyo mijitu ikitokea ikapotea game linaweza kurudisha hadhi yke???[emoji24] [emoji24]
 
aliyekwambia aslay anakunywa pombe nani??? Darasa tunashinda naye ukuu saloon kongowe ,
Screenshot_20200425-010447-1.jpg
 
Kwa muziki gani wa kuwafanya wavume hadi wachukue tuzo? Muziki huu huu wanaoimba matusi verses zote? NEVER!
 
Habari zenu wakuu..
Naomba tushauliane hapa, yawezekana hili naliona peke yangu.....

Kwanini wasanii wa bongo fleva ikitokea msanii akavuma sana ndo unakuwa mwanzo wake wa kupotea?

Mbona wenzetu wa nigeria msanii anaweza kutoa hata ngoma moja na akavuma the whole Africa hadi nakuchukua Tuzo za MTV ... na ma awards kibao

Mfano Vijana wa nigeria akina
Wizzkid Ayo
Tekno miles..
Koledebello...
Patoraking..
ETC

Ni kama wameanza kusikika na Vijana wetu Akina
Baraka da prince...
Moo music..
Aslay....
Darasa...
Belle 9
Ben poul

Ila cha ajabu wenzetu wanapanda chati kila kuchapo huku kwetu ndo kwanza Vijana wetu ndo tunaanza kuwazika katika game na kusahaulika.

Mfano Moo music ndo basi yupo kama hayupo...
Baraka da prince ndo huyo yupo kwenye mseleleko kuelekea bondeni huko akauze samaki
Darasa ndo tena hatujui anafanya nini huko alipo
Belle 9 Ndo kashaanza kucheza ndondo cup collable na akina msaga sumu[emoji23] [emoji23]
Ben poul ndo huyo anajituma hadi na kiki za kupakwa mafuta ila bado hasikiki ..

Jamani kwanini sisi Watanzania?
kibaya zaidi hata mdogo wetu Aslay amekuja tukajua angalau ameleta mapinduzi, saizi ndo basi ameanza kunywea naskia kabisa na tetesi saizi ni yeye na pombe tu analewa hadi anaandika barua kwa wafu!

Kwanini Tanzania iwe WCB na KIBA tu ile hali tunovijana wazuri wanaojua kuimba?

Maoni yenu wadu[emoji26] [emoji26]
Ni WCB tuu kaka KIBA HAJUI KUIMBA HUO MJADALA TULISHAUFUNGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom