Kulikoni kwenye Bongo Fleva?

Ubepari katika game ndio unaowaangusha wasanii kuna majitu yanataka kunyenyekewa na kuwanyonya wasanii kama hutaki kunyonywa unatupwa mbali ukafie mbele

Wakiamua Fulani awe hit ya kila kona inawezekana ukizingua unapigwa chini ..kila sekta kuna magianta lazima uwatii ili uweze kwenda sawa sio bongo tyu hata huko mambele..

Wakiamuua usitoke hutoki kwelia hata ukitumia ndumba utabaki kusikika msanii mkali lakini hamna lolote ..
 
Mkuu kwa hyo hyo mijitu ikitokea ikapotea game linaweza kurudisha hadhi yke???[emoji24] [emoji24]
 
Kwa muziki gani wa kuwafanya wavume hadi wachukue tuzo? Muziki huu huu wanaoimba matusi verses zote? NEVER!
 
Ni WCB tuu kaka KIBA HAJUI KUIMBA HUO MJADALA TULISHAUFUNGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…