Kulikoni Mavoko a.k.a Billionaire kid kufuta picha insta!?

Uwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unalolileta

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dhima ya uongozi wa jf kuweka majukwaa yatakayobeba maudhui tofauti tofauti ilikuwa ipi?

Kuna wakati tunatakiwa tuwe tunaficha ujuaji usiokuwa na msingi. Kama wewe unapenda kujadili mambo ya uchumi na jinsi ya kujikwamua kiuchumi, majukwaa hisika yapo, nenda huko. Umefuata nini huku?
 
kwanini usingemuuliza mwenyewe huko DM kuliko kutafuta majibu yasio ya uhakika kwetu
 
Usilinganishe upumbavu,ulichokileta ni ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…