Kulikoni Mavoko a.k.a Billionaire kid kufuta picha insta!?

Kulikoni Mavoko a.k.a Billionaire kid kufuta picha insta!?

Uwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unalolileta

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani dhima ya uongozi wa jf kuweka majukwaa yatakayobeba maudhui tofauti tofauti ilikuwa ipi?

Kuna wakati tunatakiwa tuwe tunaficha ujuaji usiokuwa na msingi. Kama wewe unapenda kujadili mambo ya uchumi na jinsi ya kujikwamua kiuchumi, majukwaa hisika yapo, nenda huko. Umefuata nini huku?
 
kwanini usingemuuliza mwenyewe huko DM kuliko kutafuta majibu yasio ya uhakika kwetu
 
Ndugu yang watu hawafanikiwi kwa kujitathimi wao wenyewe tu lazima kuwe na mtu wa mfano kwake ili awe hapo alipo.... Pia hauwezi kukunja ndita kila wakati unahitaji muda kutulia na kujichanganya na watu wengine..... Sidhani hii stori itakua tofauti na zile unazopiga kijiweni kwako au na rafiki zako.... Kuna vitu tu lazima vitokee ili vipotezee muda........
Usilinganishe upumbavu,ulichokileta ni ujinga mtupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom