Kulikoni mitandao ya Twitter na YouTube kutokuwa hewani?

Kulikoni mitandao ya Twitter na YouTube kutokuwa hewani?

Kuelekea saa kumi na mbili leo, mitandao ya Twitter na YouTube imekumbwa na kwikwi.

Haya mambo ya kuchaguliana kipi tusikilize au kipi tusione hali tumenunua bando na kulipia tozo zenu zote yanatoka wapi?

Ama kwa hakika tunastahili maelezo kwa kuingilia starehe zetu.
Bado tumefungiwa,hatujawa huru,nafikir tcra hawakutaka hotuba ya Lissu wakati tayar hotuba ya MSH ishapikwa
 
Kufunga mitandao kunaweza leta loss kwa baadhi ya watu....

Wanasiasa ni watu wa hovyo sana
 
Back
Top Bottom