Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wana JF naomba kuuliza mbona huyu mwanamitindo wetu amepungua ghafla? Hivi kweli mtu anayefanya diet au mazoezi anaweza pungua namna hiyo akawa kama box yaani ametepweta? au ndo mambo ya visu yameingia Bongo? naombeni ufafanuzi je Mustapha amefanya plastic surgery au?