Kulikoni MWANAJAMIIONE kubadilisha AVATAR

Hahahahaa Babu wala si uchunaji natii amri ya Babu Mchungaji! Au nimtumie soft copy ya konyegi? Afu babu, bibi alisema mimi sikuwahlala kitandani wakati niko mtoto je ni kweli?Haya salimia Eliza wa jeijei
 
Mie niliishaipigania ile avatar nyingine mpaka ikarudishwa (MJ1 anaweza kuwa shahidi wa hili 🙂 )lakini hii ya sasa poa tu. Ngoja ajidai nayo kwa muda labda baada ya kutambua ile ilikuwa na Wapenzi wengi basi siku za usoni inaweza kurudishwa
 
MJ1 kumbe umeamua kubadilisha tena AVATAR.
siku njema.. karibu shambani
 
Mie niliishaipigania ile avatar nyingine mpaka ikarudishwa (MJ1 anaweza kuwa shahidi wa hili 🙂 )lakini hii ya sasa poa tu. Ngoja ajidai nayo kwa muda labda baada ya kutambua ile ilikuwa na Wapenzi wengi basi siku za usoni inaweza kurudishwa

Bubu ataka kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…